Sunday, April 28, 2013
Mawaziri, wabunge CCM warushiana 'makombora'
Wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), jana walishambuliana huku waliokuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali katika vikao vya bajeti vinavyoendelea mjini Dodoma wakituhumiwa kukiua chama na kukipa nguvu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Kikao hicho ambacho kilikuwa chini ya Mwenyekiti wake, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kilifanyika katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa mjini Dodoma.
Pinda alianza kwa kuweka hoja mezani akitaka wabunge wa CCM kuchangia Sh.100,000 kila mmoja kwa ajili ya kuwezesha ushindi katika uchaguzi mdogo wa madiwani unaotarajiwa kufanyika katika kata 26 nchini.
Hoja hiyo iliungwa mkono na wabunge hao, lakini alisimama Mbunge wa Mwibara, Alphaxard Khangi Lugola, akihoji kulikoni wanaosaidiwa na chama wakawa madiwani ili hali wabunge walio na kesi mahakamani wakiachwa kugharamia kila kitu wenyewe.
“Si unajua nyoka wa shaba (Lugola), ana kesi mahakamani, sasa ndiyo maana akaamua kuhoji, iweje yeye hasaidiwi na chama wakati huo huo anaambiwa akisaidie chama,” alisema mmoja wa wabunge aliyekuwa ndani ya kikao hicho.
Saturday, April 27, 2013
MGANGA AELEZEA ISHU YA DIAMOND KUNG'ANG'ANIA MAITI YA BI.KIDUDE KWA NIA YA KUIBA NYOTA YAKE
Funguka: Dr Mkumba asalam aleikum, karibu ndani ya nyumba kubwa ya magazeti Pendwa Tanzania, Global Publishers Ltd.
Dr Mkumba: Waaleikum salaam, ahsanteni nashukuru. Mimi leo nina jambo ninataka niliweke sawa.
Funguka: Liweke sawa, sisi pamoja na wasomaji wetu wa Risasi Jumamosi tunakusikiliza.
Dr Mkumba: Nataka kuweka sawa juu ya suala la nyota, mtu akifariki huwa anakwenda na nyota yake sasa nimeshangaa kusikia Diamond alikwenda kuchukua nyota ya marehemu.
Funguka: Sasa Diamond alipobaki peke yake chumbani na mwili wa marehemu ilikuwa ina maana gani?
Dr Mkumba: Pale alikuwa anajaribu kujisafisha tu katika jamii, hakuna cha ziada.
Funguka: Unaposema anajisafisha, kwani amechafuka?
Dr Mkumba: Eee! Kwani hujui? Amenaswa na mke wa mtu hotelini, skendo za wanawake tofauti zimekuwa zikimtafuna kila kukicha.
Funguka: Unaposema alikuwa anajisafisha una kitu gani cha kushika mkononi?
Dr Mkumba: Surat Nnajimi Sura ya 39 imezungumza kwa kirefu ila tafsiri yake ipo hivi; hakuna anachokichuma mwanadamu kwa marehemu ila marehemu anategemea kuombewa dua na mtu mzima.
Funguka: Kwa hiyo ina maana vile alivyofanya Diamond ni kazi bure?
Dr Mkumba: Nakwambia hakuna cha maana zaidi ya kujisafisha.
Funguka: Sasa una mshauri nini Diamond?
Dr Mkumba: Amrudie mwenyezi Mungu kwa kufanya ibada ya kweli.
Funguka: Vipi kuhusu suala la kujenga msikiti ambalo Diamond alitangaza kuwa ana mpango huo?
Dr Mkumba: Hapo ndiyo kabisa, ajenge tu lakini haisaidii kitu sababu ukijenga nyumba ya ibada inatakiwa utumie fedha ambazo umezipata kihalali katika njia safi.
Funguka: Kwani fedha zake hajazichuma kwa njia safi?
Dr Mkumba: Kiimani yetu ya Kiislam muziki siyo halali hivyo fedha anayoipata kwenye muziki haiwezi kuwa halali.
Funguka: Tunashukuru, karibu tena siku nyingine.
Dr Mkumba: Haya Ishallah!
FATAKI LANASWA LIVE NA MWANAFUNZI GESTI WAKIWA UCHI WA MNYAMA WAKILA URODA..!!
Tukio hilo la
kusikitisha lilitokea Jumatano ya Aprili 24, mwaka huu katika chumba
namba 107 kwenye gesti iitwayo Jamboz iliyopo Kinondoni jijini Dar.
Habari za uhakika zilieleza kuwa tukio hilo
lilikuwa ni mtego baada ya walezi wa denti huyo kunasa mawasiliano ya
mfanyabiashara huyo akimrubuni binti yao.
Katika mawasiliano
hayo, Tajiri alimtaka denti huyo wa sekondari moja iliyopo Kibamba, Dar
(jina linahifadhiwa kwa sababu maalum za weledi wa uandishi wa
habari), wakutane kwenye gesti hiyo kwa ajili ya kuimomonyoa amri ya
sita.
Baada ya walezi hao kuufuma ujumbe kwenye
simu ya binti yao, walimuwekea doria bila mwenyewe kujijua na
ulipokaribia muda waliokubaliana kukutana gesti, denti huyo aliaga
anakwenda ‘tuisheni’.
AIBU ! KIJANA ANASWA AKIMNAJISI NA KUMLAWITI MBUZI HADHARANI....!!
Katika hali
ya kushangaza, jamaa mmoja nchini Nigeria amenaswa live akivunja
amri ya sita na Mbuzi ....
Baada ya kufamaniwa na wanachi,
mwanaume huyo alipewa kichapo kikali na kufangashwa na mbuzi
huyo hadi kituo cha polisi....
Maswali yenye utata kuhusu tukio hilo:
1. Kuna faida gani au starehe gani ya
kufanya mapenzi na mnnyama....
2..Viungo vya mwanaume ni vikubwa sana
ukilinganisha na vile vya mbuzi...huyu jamaa aliwezaje....Bora
angechukua punda kuliko kumuonea mbuzi wa watu..!!!
Niimani yetu kwamba sheria itamfundisha
adabu
KAULI YA MKE WA MBUNGE GODBLESS LEMA SASA HIVI KUHUSU LEMA KUSHIKILIWA POLISI
Taarifa
za sasa kutoka Arusha ni kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema
anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi Arusha na kuhojiwa kwa tuhuma
za uchochezi wa vurugu za Wanafunzi wa chuo cha Uhasibu dhidi ya Mkuu wa
Mkoa Arusha juzi.
Taarifa za uhakika kutoka kwa mke wa Mh.
Lema sasa hivi ni kwamba Polisi wamekataa kutoa dhamana yake na kusema
mpaka jumatatu ndio itajulikana.
Namkariri
Mke wa Lema akiongea na TheTZA millardayo.com akisema “jana usiku saa
sita kasoro watu walikuja kugonga nyumbani kwetu tukamtuma kijana aende
kutazama ni kina nani, aliporudi akasema ni Polisi.. sisi hatukuamini na
tulikataa kwa sababu hatukujua kama ni Polisi kweli au ni watu wanataka
kuitumia hiyo nafasi kufanya uhalifu, mimi nimeshinda Polisi kutwa
nikifatilia gari mbona chochote hakikutokea?”
ISHA MASHAUZI ATIWA MBARONI KWA WIZI WA SH. 700, 000...!!
Veronica aliwakimbiza wawili hao na kuwadaka mtaa wa pili na kuwasomea tuhuma zao kisha akawaomba awasachi kwenye mafurushi waliyobeba lakini Isha na mshirika wake waligoma, hali iliyosababisha kuzuka kwa timbwili wakidai mwanamke huyo alitaka kuwadhalilisha.
Baada ya Veronica aliyekuwa na wapambe ‘legelege’ kuzidiwa nguvu, waligeuka na kukimbilia Kituo cha Polisi Msimbazi ambako alifungua kesi ya wizi kwa Isha na shosti wake kwa jalada namba MS/RB/4023/2013.
DIAMOND ATANGAZA KUGAWA URODA KWA WAREMBO WA LONDON......!!
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anaendelea kutunisha akaunti yake baada ya kulamba shavu la shoo za kutosha nchini Uingereza ambapo ameahidi kurejea Bongo na mchumba rasmi atakayemtambulisha kwa mama yake, Sanura Kassim ‘Sandra’.
Mkali huyo wa ngoma ya Kesho alifunguka hayo
juzikati kupitia website yake alipokuwa akizinadi shoo hizo
atakazofanya kwenye majiji ya London na Reading, Uingereza ambapo
aliwataka warembo hasa Wabongo waishio humo kupendeza ili achague mmoja
atakayekuwa mchumba’ke.
Bila kujali mjadala utakaoibuka kwa kuwa tayari ana mchumba
ambaye ni Penniel Mungilwa ‘Penny’, Diamond alifunguka: “Mashabiki
wangu wa London na Reading kijana wenu nakuja kuweka historia kwa mara
nyingine. Warembo mpendeze nakuja kuchagua mchumba mmoja wa kuja
kumtambulisha kwa mama Diamond.”
Friday, April 26, 2013
Lema kufikishwa Mahakamani juma tatu
Lema akiongozana na wanafunzi wa chuo cha uhasibu
baada ya wanafunzi hao kumpokea juzi chuoni hapo
Arusha,Tanzania
MAMBO yamezidi kumwendea kombo Mbunge wa Arusha Mjini,
(Chadema) Godbless Lema baada ya Jeshi la Polisi kutangaza rasmi kwamba
itamfikisha Mahakamani, siku ya Juma tatu.
Mwanadishi wa Habarimpya.com mjini Arusha anasema kwamba, Kamanda wa
Polisi Mkoa wa ArushaLiberatus
Sabas amema kwamba Mbunge huyo hawezi kuachilia huru kwa sababu mashtaka
dhidi yake yameshakamilika na atafikishwa Mahakamani siku ya Juma
tatau.
"Hatuwezi
kumwachia kwa sababu anatarajia kufikishwa mahakamani kujibu tuhuma
zinazomkabili" alisema Sabas.
Wakati Kamanda huyo
akitoa msimamo huo, taarifa za ndani ya Jeshi hilo zinaeleza kwamba
Mbunge huyo amehojiwa kwa zaidi ya saa nane sasa na bado yuko katika
chumba maalum kwa mahojiano zaidi na maofsa wa Polisi huku akitakiwa
kuonyesha ujumbe mfupi wa vitisho aliyodaiwa kuwa ametumiwa na Mkuu wa
Mkoa wa Arusha Magesa Mulongo.
Katika hatua nyingine Kamati ya Ulinzi na Usalama wa
Mkoa wa Arusha, kimekuwa na kikao kirefu kinachoongozwa na Mkuu wa Mkoa
Mulongo na kwamba ajenda kubwa inayojadiliwa ni tukio zima la vurugu
zilizotokea katika Chuo cha Uhasibu mkoani humo. Lema alikamatwa
usiku wa kuamkia leo baada ya Askari wa Jeshi la Polisi kumfuata
nyumbani kwake na kuzingira nyumba yake kabla ya zoezi la kumchomoa
ndani ya nyumba hiyo kufanyika.
Mbunge huyo anatuhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo
kosa la kuchochea vurugu katika chuo hicho baada ya kutokea mauaji ya
Mwanafunzi Henry Koga aliye uawa kwa kuchomwa kisu juzi akirejea chuoni
hapo kutoka kwenye matembezi yake, hata hivyo haijajulikana mara moja
sababu za kuawa kwa mwanafunzi huyo wala watuhumiwa hawajakamatwa.
WEMA AKODI NDENGE KUTOKA DAR KWENDA ARUSHA KWAAJILI YA MAPUMZIKO
Habari Habari za uhakika zilieleza kuwa Wema na timu ya wafanyakazi
katika kampuni yake ya Endless Fame Production, alikodisha ndege ya
kifahari kutoka Dar kwenda Arusha kwa ajili ya mapumziko tangu Aprili 18
hadi 20, mwaka huu.
Ilifahamika kuwa
ndani ya ndege hiyo ambayo kuikodisha ni mkwanja mrefu, aliongozana na
kampani yake tu.
CHANZO
CHA YOTE NI DIAMOND
Ilibumburuka kuwa
timu yake hiyo ilikuwa takriban watu watano ambao walimsindikiza kwenda
kwenye mapumziko kutokana na ‘stresi’ alizokuwa nazo.
Ilielezwa kuwa stresi alizokuwa nazo
zilitokana na ile ishu ya kudaiwa kurekodiwa akibembeleza penzi kwa
aliyekuwa mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku mkali
huku jamaa akiwa amelala na mpenziwe wa sasa, Penniel Mungilwa ‘Penny’.
Baada ya kutokea
kwa ishu hiyo ndipo Wema alipoamua kwenda kujichimbia Arusha kupoteza
mawazo.
“Unajua ile ishu ilimchanganya sana bidada maana
hakutegemea kama Diamond anaweza kufanya kitu kama kile so (kwa hiyo)
alikwenda kutuliza akili na kweli sasa hivi walau yupo fresh (vizuri),”
alisema sosi wa karibu wa Wema.
AINGIA ARUSHA KWA ULINZI MKALI
Walipoingia jijini Arusha, staa huyo wa Filamu ya The
Super Star alipokelewa kwa ulinzi mkali hadi katika hoteli ya bei mbaya
aliyokuwa ameweka oda kwa ajili yake na watu wake.
“Unaambiwa kuanzia Arusha Airport (uwanja wa ndege)
hadi hotelini ilikuwa ni full ulinzi wa kufa mtu,” kilisema chanzo
chetu,
PROFESA LIPUMBA AIPONDA CHADEMA NA KUDAI KUWA NI VINARA WA VURUGU NA HAWANA HOJA
Chama Cha Wananchi (CUF), kimesema
vurugu zinazoendelea bungeni zinasababishwa na Kambi Rasmi ya Upinzani
inayoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Freeman Mbowe, kushindwa kujenga hoja na mbinu za kuwabana
wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza
jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba
alisema wabunge wa Chadema wana tabia ya kufuata mfumo wa kwenda bungeni
na hoja zinazobeba chama chao na si za Watanzania wote kama jinsi CCM
wanavyofanya.
“Kambi rasmi ya upinzani imepoteza uwezo
wa kujenga hoja za mashiko na mbinu madhubuti za kuwabana wabunge wa
CCM bungeni na badala yake Chadema, wamekuwa na tabia mbaya ya kubeba
chama chao,” alisema Profesa Lipumba.
HII NI BARUA YA WAZI KUTOKA MBEYA ILIYOANDIKWA KWA DIAMOND IKIMPONDA KWA MABAYA ANAYOYAFANYA.
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI mbeya region P.O.BOX 1021 MBEYA
dear diamond....
sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika wasanii wakali mpaka kupitiliza hapa tz wew ni mmoja wapo.. napenda sana vibonzo vyako hasa kile cha " nani amenuna nani amenuna eti nani amenuna" najua utakua umemalizia WEMA... katika kila shoo zako unazofanyaga mara nyingi huwa unataja kumheshim sana mama yako mzazi kutokana na malezi aliyokupa toka kipindi kile unauza
MITUMBA.. lakini saiz unafanya mama wa watu aonekane alizaa toto
zinzi ambalo kama limetumwa kuzini na kuumiza wanaume wenzie.. ivi
unajua mke anauma kias gani hata kama wanajileta we ni mtu mzima ambaye
unatakiwa kupembua mambo.... hasa kuhusu jambo la HILI MBURULA LENZIO
UWOZO or SORY I mean UWOYA.. unajua kabisa
kaka yetu NDIKU ambaye
anafanya kazi ngumu ya kukabana na wakina NSAJIGWA NFUSO uwanjani ili
apate chochte cha kulisha family yake lakini wew bila huruma una ramba
asali yake... ivi unajua mtoto wa uwoya "krish" atakopukua njiani kwenda
shule wenzie watakua daily wakimuambia " mtoto wa kambo wa DOMO huyo'
ivi dear diamond mbna unataka mama yako asipewe heshma sababu ya wew
hujui ka unamfanya awe despsd infrnt of da pple... najua hujaelewa coz
elimu kwako ni tatizo utampigia wema akufafanulie ila usi mrecord coz
anakusaidia ww.... au umea athirika unafanya kusambaza.. hawa wanawake
wapo toka enzi za ma dinossaurs,,, mwambie penny akuambie maANA ya
dinossaurs.. huu mda unaoangaika na wanawake ungejiendeleza ata kielimu
iyo 4m four itakufksha wap.. na wew mama diamond ivi huoni anachofanya
mwanao unashindwa kumshauli au unataka uje kumwambia akishaanza
kuharisha na kumvisha visepe.. ERIC SHIGONGO naomba ukiiona hii itupie
kwenye ijumaa wikienda ili babu yangu wa ileje Ambaye hatumiii fb asome
mana kila siku amekua akiipenda nyimbo ya mbagala bila kujua uovu wa
aliyeimba kwa leo yatosha ila TACAIDS naamini itakutemblea diamond siku
si nyingi kkupa matumizi saHII YA arv
wako shabiki nambA MOJA
DUNIA NZIMA....... via mbele kuchungu
From:http://www.facebook.com/pachito.edd
WASANII WALIPONDA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA
BUNGE la Jamhuri la Muungano wa Tanzania
limeonekana kuwachosha baadhi ya wasanii kutokana na kukosa hoja za
maana za kujadili ndani ya bunge hilo na matokeo yake kuwa kama kijiwe
kwa kutumia lugha chafu zilizokosa tija kwa taifa Kutokana na hali hiyo ya baadhi ya wabunge kukosa lugha na sera zenye tija wawapo bungeni baadhi ya wasanii wanaliona hilo ni moja ya changamoto inayosababisha watanzania kuzidi kuwa na hari ngumu ya kimaisha kwa kukosa watetezi wenye umakini Mmoja wa wasanii hao akizungumza na jarida hili Ben Pol alisema kuwa anashangazwa na baadhi ya wabunge kutumia lugha ya matusi kwenye kujadili hoja na matokeo yake wanashindwa kupata muafaka wa wanayo yajadili Alisema kuwa bunge limekosa muelekeo na ameacha kulisikiliza bunge hilo kwa sababu ya kukosa mueleko na kujaa lugha chafu za matusi huku wakishindwa kuyajadili yale ya msingi kwa taifa lao Kutokana na hali hiyo nchi ya Tanzania itaendelea kubaki maskini na vitu kuendelea kupanda bei kila siku huku kipato cha wananchi kuwa duni kwa kukosa watetezi Alisema kuwa bunge halijafika sehemu nzuri na kuonekana halina tija kwa wananchi wake na hali hiyo linasababisha wananchi kushindwa kupata ukombozi kwa yale wanayoyakusudiwa Kwa upande wake msanii wa filamu nchini Rose Ndauka alisema kuwa bunge limekuwa si la wastaarabu na matokeo yake wanajadili vitu ambavyo havina tija kwa jamii Alisema kuwa Tanzania ni nchini ya wastaarabu na wajadili vitu vya ustaarabu kwa kufikia muafaka hali hiyo imekuwa tofauti sasa kwa baadhi ya wabunge kujadili vitu kwa lugha chafu hali inayoshangaza taifa "Wananchi tumewachagua wabunge huku tukiamini kuwa watafanya hilo tulilowaagiza ila hali imekuwa tofauti na mika mingine baadhi ya wabunge kuanza kujadili vitu visivyo na tija kwa wananchi wao" alisema Ndauka |
LEMA ATUMIWA UJUMBE WA VITISHO NA MKUU WA MKOA
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Lema alidai kuwa ujumbe huo umeandikwa kupitia simu ambayo namba 0752960276 na unaosomeka: “Umeruka kihunzi cha kwanza, nitakuonesha kuwa mimi ni serikali, ulikojificha nitakupata na nitakupa kesi ninayotaka mimi.”
Alisema baada ya kupata ujumbe huo, alimjibu kuwa “nimekupata nimekuelewa nipo tayari kwa lolote.”Hata hivyo, Mulongo amekana kumtumia Lema ujumbe huo... “Nimepata hizi taarifa wewe ni kama mtu wa nane kuniuliza. Sijatuma huo ujumbe na siwezi kuwa na mawazo ya kumtumia ujumbe huo kwani kama ningetaka kumkamata tangu jana pale Chuo cha Uhasibu ningemkamata.”
Madawa ya kulevya yakamatwa katika basi la ziara la mwanamuziki Justin bieber.
Polisi
wa nchini Sweden wamedai kupata dawa za kulevya katika basi
linalotumiwa na mwanamuziki Justin Bieber anapofanya ziara zake za
kimuziki.
Msemaji
wa polisi Lars Bystrom amesema kiwango kidogo cha dawa za kulevya na
silaha moja vimekutwa katika basi hilo wakati polisi walipolivamia
likiwa halina mtu na kuegeshwa katika ukumbi wa Globen mjini Stockholm
ambapo mwanamuziki huyo alikuwa akifanya shoo.
Polisi
huyo amekata kutaja aina ya dawa zilizokamatwa akisema zimepelekwa
maabara kwa uchunguzi.
Hata
hivyo hakuna mtu aliyekamatwa.
WANAWAKE WAASWA KUUNGANA NA KUSUSIA BIDHAA NA MAONYESHO YA MWANAMUZIKI DIAMOND
Kitendo cha Mwanamuziki wa kizazi kipya
Nasibu Abdul Juma maarufu kama Diamond,cha kurekodi mazungumzo yake na
star wa Bongo Move Bi. Wema Sepetu,
na
kuyatuma mazungumzo yao ya mapenzi katika mitandao ni kitendo
cha "Udhalilishaji wa Mwanamke" kwa kuwa wanamuziki na wasanii wote
wanatakiwa wawe ni mfamo na kioo cha jamii katika kuielekeza jamii
kuishi
kwa kufuata na
kuheshimu maadili, lakini mwanamuziki Diamond ameonekana kuwa ni
kiongozi wa "Udhalilishaji wa Mwanamke" kufuatia kitendo chake cha
kurekodi na kusambaza mazungumzo yao ya simu ya kimapaenzi kati yake na
Bi. Wema Sepetu na mpenzi wake wa sasa Bi. Penny, kitendo hiki ni cha
"kuwadhalilisha wanawake wa kitanzania" Tunaowaomba akinamamana kinadada
na wanawake wote kwa ujumla kususia kununua video, vcd, cd pia kugomea
kuhudhuria onyesho lolote lile litakalofanywa na mwamuzikiNasibu Abdul
Juma aka Diamond hadi pale atakapo waomba radhi wanawake wotewa
kitanzania popote pale walipo.
Wanawake wote wanatakiwa kugomea maonyesho
ya mwanamuziki huyo na
na
kutonunua bidhaa za mwanamuziki huyo Diamond ili kukomesha kabisa tabia
hizi chafu za "Udhalilishaji wa Mwanamke"
Wanawake wote ambao wamempa like au ad katika mitandao kama
facebook kujiondoa mara moja na kogemea kununua jarida au gazeti lolote
lile litakalo mpamba mwanamuziki huyo.
GODBLESS LEMA AKAMATWA....POLISI WAVUNJA MLANGO NA KUMTIA PINGU
Baada ya mabishano ya muda mrefu nyumbani kwa
kada huyu na Mbunge wa Arusha mjini na uvamizi wa Polisi wakati wa
usiku wa manane, Mh. Lema alikubali kukamatwa na kuchukuliwa na gari la
polisi usiku na kupelekwa kituo kikuu cha polisi Arusha yaani Central
Polisi.
Kukamatwa
kwake kulikuja baada ya polisi kuvunja mlango na kuingia ndani na
kuendesha msako wa nguvu humo ndani .Vitu kama laptop, ipad, simu
vipo mikononi mwa police.
Wananchi
wengi walijitokeza ku-support mbunge wao na huenda Asubuhi wananchi
wakawa wengi zaidi.
Safari
ya Lema kuelekea polisi ilisindikizwa na msululu wa magari ya makada
waliojitokeza kumsupport kuelekea kituo cha polisi.
Baada ya kumfikisha Lema Central police Arusha alisachiwa na kuingizwa ndani. Lema alikuwa ameambatana na magari ya wafuasi wa Chadema waliomsindikiza ili kushuhudia kinachojili hapo kituoni.
Baada ya kumtupa ndani,polisi waliwafukuza wafuasi hao wa Chadema hapo kituoni na kuwaambia hawatakiwi kuonekana hapo.
.......
MH. LEMA AMEKAMATWA KUFUATIA KILE KINACHOTAJWA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KUWA YEYE NDO CHANZO CHA VURUGA NA KUZOMEWA KWAE NA WANAFUNZI ALIPOFIKA CHUO CHA UHASIBU NJIRO BAADA YA TUKIO LA KINA MMOJA ALIYEUAWA KWA KUCHOMWA KISU.
MH. LEMA AMEKAMATWA KUFUATIA KILE KINACHOTAJWA NA MKUU WA MKOA WA ARUSHA KUWA YEYE NDO CHANZO CHA VURUGA NA KUZOMEWA KWAE NA WANAFUNZI ALIPOFIKA CHUO CHA UHASIBU NJIRO BAADA YA TUKIO LA KINA MMOJA ALIYEUAWA KWA KUCHOMWA KISU.
source mpekuzi
HUYU NDIO MSHKAJI AMBAYE AMEFUKUZWA HUKO SAUDI ARABIA KUTOKANA NA KUWA HANDSOME KUPITA KIASI
Huyu ni Omar Borkan Al Gala, mwigizaji na pia mpiga picha wa huko
Dubai ambaye kwa mujibu wa taarifa, yeye pamoja na wenzake wawili
wamefukuzwa huko Saudi Arabia kutokana na kuwa na muonekano mzuri
kupitiliza (Yaani ma-handsome kupita kiasi) ili kuepusha kuwaingiza
katika tamaa wanawake ambao hushindwa kujizuia kuwashobokea.
Omar alitolewa na maafisa wa polisi na kunyimwa kuhudhuria katika tamasha ambalo hufanyika kila mwaka nchini humo ambalo huusisha mbio za Ngamia, Janadriyah Festival ambalo kwa sehemu kubwa huhudhuriwa na matajiri, na baadhi ya vyanzo vya taarifa vinasema Omar alitolewa kutokana na mualiko wa msanii wa kike maaruku kutoka Falme za Kiarabu ambaye walihofia angeweza kutengeneza mahusiano naye.... na wengine wakisema ni hofu ya wakubwa kuibiwa mademu wao.
Omar alitolewa na maafisa wa polisi na kunyimwa kuhudhuria katika tamasha ambalo hufanyika kila mwaka nchini humo ambalo huusisha mbio za Ngamia, Janadriyah Festival ambalo kwa sehemu kubwa huhudhuriwa na matajiri, na baadhi ya vyanzo vya taarifa vinasema Omar alitolewa kutokana na mualiko wa msanii wa kike maaruku kutoka Falme za Kiarabu ambaye walihofia angeweza kutengeneza mahusiano naye.... na wengine wakisema ni hofu ya wakubwa kuibiwa mademu wao.
CHANZO : SAM MISAGOBLOG
WATAALAMU WA MAMBO WAMETHIBITISHA KUA HUYU NDO MWANAMKE MREMBO KULIKO WOTE DUNIANI
They
say beauty is in the eye of the beholder but this type of natural
beauty is very exceptional.
Meet the most beautiful woman in the world 2013, Saudi Arabian queen Fatima Zohar-Godabari.
Before now, the beautiful lady is used to covering her whole face with a Niqab but she is ready to show the world what she is made of.
Meet the most beautiful woman in the world 2013, Saudi Arabian queen Fatima Zohar-Godabari.
Before now, the beautiful lady is used to covering her whole face with a Niqab but she is ready to show the world what she is made of.
Thursday, April 25, 2013
WIMBI LA MAKAHABA LAZIDI KUONGEZEKA JIJINI DAR, COCO BEACH YAGEUZWA 'GUEST BUBU' NYAKATI ZA USIKU...!!
NI aibu sana!
Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Oparesheni ya Fichua Maovu
iliyosimamiwa na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar, OCD
Wilbroad Mutafungwa na Ofisa wa Oparesheni, Inspekta Jacob Swai
alivyonasa wanawake wanaojishughulisha na mambo ya ngono usiku kucha. Katika oparesheni hiyo iliyofanyika usiku wa
Jumapili iliyopita watu kibao walinaswa hasa katika Ufukwe wa Coco,
jijini Dar akiwemo bibi harusi mmoja na mtoto wa kigogo (jina
linahifadhiwa).
BIBI HARUSI LAIVU KWENYE BAJAJ
Kwenye ufukwe huo, mwanamke mmoja ambaye jina halikupatikana, aliyedaiwa kufunga ndoa Ijumaa iliyopita, naye alikamatwa katika msako baada ya kunaswa na mwanaume wakifanya ngono kwenye Bajaj.
Katika tukio hilo, mwanaume alifanikiwa kutoka nduki huku akimwacha demu wake akijikusanya kwa kuvaa nguo.
Mwanamke huyo naye alifanikiwa kuwatoka askari hao na kukimbilia chooni ambapo aliwakuta wanawake wengine waliojificha hivyo wakakamatwa wote kwa pamoja.
Ili kuweka ushahidi, askari hao wa kazi waliikamata Bajaj hiyo. ALIKWENDA KUKUMBUSHIA ENZI ZAKE
Kwa mujibu wa mwanamke huyo, mkazi wa Kinondoni-Manyanya, usiku huo alifika mahali hapo kukumbushia enzi zake kabla ya kuolewa ambapo ilidaiwa kwamba alikuwa akijiuza ufukweni hapo.
Alijitetea kuwa mume wake alisafiri hivyo akaona akakumbushie enzi zake kabla hata ‘hina’ aliyopakwa wakati wa harusi haijafutika mwilini.
Pamoja na maelezo hayo, mwanamke huyo aliishia kwenye ‘difenda’ la polisi tayari kwa kupelekwa kituoni kwa maelezo zaidi.
BINTI WA KIGOGO
Katika kundi hilo la wanawake na wanaume zaidi ya hamsini waliokamatwa ufukweni hapo usiku huo wa saa 9 na ushee, kulikuwa na mtoto wa kigogo mmoja serikalini katika idara nyeti ambaye alinaswa mchangani baharini akiwa kwenye kundi la makahaba.
Mtoto huyo aligundulika kuwa ni binti wa mnene wakati wa kutoa maelezo kituoni Oysterbay. MASIKINI ALIKUWA NA ‘BOIFRENDI’ WAKE
Akijitetea wakati wa kutoa maelezo, binti huyo aliyeonekana mrembo na mwenye mvuto wa ajabu, alisema kwamba alikuwa na ‘boifrendi’ wake na kuwa alitoroka kwao usiku huo.
Binti huyo aliomba chondechonde asipigwe picha kwani endapo itaonekana gazetini basi atakuwa amejipalia makaa nyumbani kwa vile hataeleweka kwa sababu anapatiwa fedha za matumizi pamoja na ada ya shule.
Ukiacha mwanamke na binti huyo wa kigogo, wanawake wengine wengi walikamatwa, wengi wao walikutwa wakifanya vitendo vya ngono mchangani wakiwa ‘pea’. MACHANGU WAFUNGUKA
Kati ya wote waliokamatwa, wanawake kumi na tano walikiri kujishughulisha na biashara ya kuuza miili ambapo walisema wanafanya hivyo kutokana na ugumu wa maisha. ACD MUTAFUNGWA ANASEMAJE?
Kwa upande wake OCD Mutafungw
a alisema wameamua kuyafanyia kazi malalamiko ya wananchi kwa kuvamia eneo hilo.
INSPEKTA SWAI ATIA NENO
Naye Inspekta Swai aliyekuwa ‘front’ katika zoezi hilo alisema kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu kila wiki ili kukomesha vitendo viovu katika ufukwe huo.
NI MATOKEO YA GAZETI LA RISASI
Oparesheni hiyo ilikuja siku chache baada ya gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko, toleo namba 1000 la Jumatano ya Aprili 17-19 kuripoti ufuska unaofanyika katika ufukwe huo usiku wa saa 9 na kuendelea.
Uchunguzi wa gazeti hilo ulieleza kiundani vitendo vya ngono, usagaji, ubakaji, ushoga na ujambazi vilivyokuwa vikifanyika eneo hilo hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni wakaona kuna kila sababu ya kufumua uozo huo kwa kuwa ni wachapakazi.
BIBI HARUSI LAIVU KWENYE BAJAJ
Kwenye ufukwe huo, mwanamke mmoja ambaye jina halikupatikana, aliyedaiwa kufunga ndoa Ijumaa iliyopita, naye alikamatwa katika msako baada ya kunaswa na mwanaume wakifanya ngono kwenye Bajaj.
Katika tukio hilo, mwanaume alifanikiwa kutoka nduki huku akimwacha demu wake akijikusanya kwa kuvaa nguo.
Mwanamke huyo naye alifanikiwa kuwatoka askari hao na kukimbilia chooni ambapo aliwakuta wanawake wengine waliojificha hivyo wakakamatwa wote kwa pamoja.
Ili kuweka ushahidi, askari hao wa kazi waliikamata Bajaj hiyo. ALIKWENDA KUKUMBUSHIA ENZI ZAKE
Kwa mujibu wa mwanamke huyo, mkazi wa Kinondoni-Manyanya, usiku huo alifika mahali hapo kukumbushia enzi zake kabla ya kuolewa ambapo ilidaiwa kwamba alikuwa akijiuza ufukweni hapo.
Alijitetea kuwa mume wake alisafiri hivyo akaona akakumbushie enzi zake kabla hata ‘hina’ aliyopakwa wakati wa harusi haijafutika mwilini.
Pamoja na maelezo hayo, mwanamke huyo aliishia kwenye ‘difenda’ la polisi tayari kwa kupelekwa kituoni kwa maelezo zaidi.
BINTI WA KIGOGO
Katika kundi hilo la wanawake na wanaume zaidi ya hamsini waliokamatwa ufukweni hapo usiku huo wa saa 9 na ushee, kulikuwa na mtoto wa kigogo mmoja serikalini katika idara nyeti ambaye alinaswa mchangani baharini akiwa kwenye kundi la makahaba.
Mtoto huyo aligundulika kuwa ni binti wa mnene wakati wa kutoa maelezo kituoni Oysterbay. MASIKINI ALIKUWA NA ‘BOIFRENDI’ WAKE
Akijitetea wakati wa kutoa maelezo, binti huyo aliyeonekana mrembo na mwenye mvuto wa ajabu, alisema kwamba alikuwa na ‘boifrendi’ wake na kuwa alitoroka kwao usiku huo.
Binti huyo aliomba chondechonde asipigwe picha kwani endapo itaonekana gazetini basi atakuwa amejipalia makaa nyumbani kwa vile hataeleweka kwa sababu anapatiwa fedha za matumizi pamoja na ada ya shule.
Ukiacha mwanamke na binti huyo wa kigogo, wanawake wengine wengi walikamatwa, wengi wao walikutwa wakifanya vitendo vya ngono mchangani wakiwa ‘pea’. MACHANGU WAFUNGUKA
Kati ya wote waliokamatwa, wanawake kumi na tano walikiri kujishughulisha na biashara ya kuuza miili ambapo walisema wanafanya hivyo kutokana na ugumu wa maisha. ACD MUTAFUNGWA ANASEMAJE?
Kwa upande wake OCD Mutafungw
a alisema wameamua kuyafanyia kazi malalamiko ya wananchi kwa kuvamia eneo hilo.
INSPEKTA SWAI ATIA NENO
Naye Inspekta Swai aliyekuwa ‘front’ katika zoezi hilo alisema kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu kila wiki ili kukomesha vitendo viovu katika ufukwe huo.
NI MATOKEO YA GAZETI LA RISASI
Oparesheni hiyo ilikuja siku chache baada ya gazeti ndugu la hili, Risasi Mchanganyiko, toleo namba 1000 la Jumatano ya Aprili 17-19 kuripoti ufuska unaofanyika katika ufukwe huo usiku wa saa 9 na kuendelea.
Uchunguzi wa gazeti hilo ulieleza kiundani vitendo vya ngono, usagaji, ubakaji, ushoga na ujambazi vilivyokuwa vikifanyika eneo hilo hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni wakaona kuna kila sababu ya kufumua uozo huo kwa kuwa ni wachapakazi.
LULU AINGIA MZIGONI RASMI NA KUFYATUA FILAMU YAKE........!!!
HATIMAYE staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth
Michael ‘Lulu’ ameingia mzigoni na kufyatua filamu yake mpya baada ya
kimya cha muda mrefu, Amani limeinyaka.
Kwa mujibu wa mtandao wake wa kijamii wa Instagram, Lulu alitupia picha akiwa ‘location’ kuashiria kwamba amerudi kazini baada ya kusimama kuigiza kwa muda mrefu.
Baadhi ya picha
hizo zinamuonesha Lulu akiwa na staa mwingine wa filamu Bongo, Hashimu
Kambi mbele ya kamera kwa ajili ya kushuti filamu hiyo ambayo jina
lake halijapatikana.
Mara baada ya kutupia picha hizo mtandaoni, watu mbalimbali walimtumia ujumbe kumsifia kwa kumwambia kuwa ana kipaji cha kazi hiyo.
Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo naye alichangia mada hiyo na kumsifu Lulu kwa uwezo wake wa kuigiza.
Lulu amekuwa kimya kwa muda mrefu baada ya kupata msala wa kumuua bila ya kukusudia staa mwingine wa filamu za Kibongo, Steven Kanumba, Aprili 7, mwaka jana, hivi sasa yuko nje kwa dhamana.
Kwa mujibu wa mtandao wake wa kijamii wa Instagram, Lulu alitupia picha akiwa ‘location’ kuashiria kwamba amerudi kazini baada ya kusimama kuigiza kwa muda mrefu.
|
Mara baada ya kutupia picha hizo mtandaoni, watu mbalimbali walimtumia ujumbe kumsifia kwa kumwambia kuwa ana kipaji cha kazi hiyo.
Miss Tanzania namba mbili 2006, Jokate Mwegelo naye alichangia mada hiyo na kumsifu Lulu kwa uwezo wake wa kuigiza.
Lulu amekuwa kimya kwa muda mrefu baada ya kupata msala wa kumuua bila ya kukusudia staa mwingine wa filamu za Kibongo, Steven Kanumba, Aprili 7, mwaka jana, hivi sasa yuko nje kwa dhamana.
Diamond ashindwa kutamba tunzo za Kili 2013, hawa ndio waliotajwa
Msanii bora wa hiphop:
Fid Q,
Joh Makini,
Kala Jeremiah,
Profesa J,
Stamina
Wimbo bora wa Mwaka:
Dear God Kala Jeremiah,
Leka Dutigite
LULU AINGIA KATIKA SKENDO HII MPYA..........!!!
NAHISI HII NDO ITAKUA SKENDO YA KWANZA INAYOMHUSU LULU
BAADA YA KUTOKA SELO. LEO KATIKA PITA PITA YANGU NIMEPITA KATIKA
WEBSITE YA SINTAH NA KUKUTANA NA POST YENYE KICHWA CHA HABARI "THE RETURN OF HOTLULU" KAMA ILIVYOANDIKWA NA SINTAH MWENYEWE. SO KA ROHO
KAKANITUMA NISOME COMMENTS. KI UKWELI COMMENTS NYINGI ZILIKUA NI ZA
KUMPONDA SINTAH BUT NIKAKUTANA NA COMMENT MOJA ILIYOTOLEWA NA MTU AMBAYE
HAKUTAKA JINA LAKE LITAJWE IKIWA NA MAONI HAYA
" Sintah for sure mwambie huyu mtoto akae mbali na BONITA atamuharibia
dakika moja. Jana nilipita pale nje maeneo ya deMage hotel kwenye duka
uchwara la BONITA, nkaona gr la Lulu na kuna gr lingine la mvulana
fulani mtoto wa daaud kanyau aitwae POnchi. Nimejua tu nn kinaendelea
mule ndan,.baada ya dk kadhaa Lulu alitkoka ndn ya duk Nawakaingia kwny
gari la ponchi wakaongea humo then ponchi akaondoka. Plz, plz plz plz
naomba awe makini ikibd akae mbali sana n BONITA. BONITA ni kuwadi
mkubwa sana. Ilimradi yy apate pesa hajali mtoto wala mkubwa. Ntafatulia
hii inshu nikupe zaid yalio jiri. I love lulu kipindi hiki awe makini"
NAKAAYA AJUTA KURUDISHA KADI YA CHADEMA NA KUINGIA CCM
Nakaaya leo hii alikuwa kwenye interview ndani ya XXL, katika mengi
aliyoyaongea, moja ni kuhusu kurudisha kadi ya Chadema na kuhamia
CCM."moja kati vitu ninavyojutia ni kurudisha kadi ya Chadema na
kuingia CCM, najua nimebugi, lakini sio kama watu wanavyoongea kuwa
nilipewa hela, kama nilipewa hela si saa hii ningekuwa nakula bata,
lakini wapi! mi sijapewa hela.wanajuaje je kama nilitishiwa au vitu
vingine kama hivyo..najua hapo nilibugi.Niliingia kwenye siasa kwasababu
ya ushawishi wa watu, na nilishawishika kwasababu ya wimbo nilioutoa
wakati hui "Mr Politician" lakini baada ya kuingia, niliona kabisa this
is not what i can do, siasa ni mchezo mchafu na niliona vinani confuse"
amesema Nakaaya kwa picha zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)