Muheshimiwa Millie Odhiambo ni mbunge wa eneo
bunge la Mbita nchini kenya aliyedaiwa kuwa wabunge wenzake walijaribu
kumvua nguo wakati walipokuwa wakipinga mswada wa usalama uliopitishwa
katika bunge hilo siku ya alhamisi.
Kufuatia
vurugu na purukushani zilizoonekana katika bunge la Kenya wakati wa
kupitishwa kwa mswada wa usalama ,mbunge mmoja mwanamke sasa amejitokeza
na kudai kwamba wabunge wenzake watatu wanaume walijaribu kumvua nguo.
Mbunge
huyo Millie Odhiambo aliandika katika mtandao wake wa facebook kwamba
wabunge wengi walipigwa huku yeye akidai kupigwa ngumi machoni na mbunge
mmoja kabla ya wabunge wawili kujaribu kumvua nguo.
Asante kwa kutembelea blog hii ya Jambo Tz,
ili kuboresha blog yetu tunatoa fulsa ya kutangaza matangazo mbalimbali
na pia kutoa maoni yako kupitia namba ya simu (WhatsApp & SMS) 0715
221198, E-mail jambotz8@gmail.com. Merry Chistmass & Happy New Year.