
Mke wa marehemu akisaidiwa kutolewa eneo la tukio
Kwa
mujibu wa mtoa habari wetu (jina tunalo), Kipondo na mwanamke huyo,
Latifa Suleiman (25), ni wakazi wa Kigogo, Dar ambao walifika katika
gesti hiyo kwa ajili ya kusaliti ndoa zao.





Askari Polisi wakizunguka doria eneo la Msikiti wa Mtambani jijini Dar es Salaam kuhakikisha kuna amani.
Askari
wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakizunguka
kufanya doria maeneo mbalimbali ya jijini la Dar es Salaam kuhakikisha
kuna amani. (Picha kwa hisani ya Gazeti la Jambo Leo.)


| Wakili wa Sheikh Ponda |