Saturday, August 17, 2013

ANGALIA PICHA ZA RAIS KIKWETE AKIWASILI NCHINI MALAWI JANA

8E9U4456 8E9U4461 8E9U4487 8E9U4488
Rais Joyce Banda wa Malawi akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amuda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC jana(picha na Freddy Maro

8E9U4623
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Joyce Banda wa Malawi wakipokea heshima muda mfupi baada ya Rais Kikwete kuwasili katika uwanja wa ndege wa Lilongwe kuhudhuria Mkutano wa wakuu wa nchi SADC leo jioni.
8E9U4480 8E9U4599
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana nawakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama muda mfupi baada ya kuwasili Lilongwe Malawi kuhudhuria Mkutano wa SADC(picha na Freddy Maro)

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...