Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Bibi Ertharin Cousin Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 13, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya bunge la Ujerumani walipomtembelea, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 13, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Bajeti ya bunge la Ujerumani baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake Februari 13, 2012.Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi