Wednesday, January 08, 2014

SERIKALI YATANGAZA MAVAZI RASMI KWA WAAJIRIWA WAKE...!!!

http://jambotz8.blogspot.com/

http://jambotz8.blogspot.com/

Muongozo wa mavazi kwa watumishi wa UMMA ambao naona pia unapply kwa wageni wano tembelea ofisi hizo. Je imewahi kukutokea umekwenda ofisi fulani ya UMMA ukarudishwa , kukatikaliwa kuingia na kuhudumiwa ofisini hapo sababu ya vazi lako?
 
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-like page ya facebook ya Jambo Tz
 

MKUU WA MKOA AMFUKUZA MKANDARASI KATIKA MKOA WAKE

IMG_0989 

Mkuu wa mkoa wa Rukwa injinia Stella Manyanya akizungumza wakati akikagua jengo hilo la bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kasanga wilayani Kalambo. Kulia ni mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya Sumbawanga Vijijini ndugu Mtapima na katikati ni Mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya Kalambo Issa Liyanga.  IMG_0996 
Mhandisi wa ujenzi wa wilaya ya Kalambo Issa Liyanga akimuonesha kitu Mkuu wa Mkoa wa Rukwa injinia Stella Manyanya alipokagua jengo la bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Kasanga wilayani Kalambo.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-like page ya facebook ya Jambo Tz

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...