
WANAWAKE watatu raia wa Rwanda wanaosadikiwa kuendesha biashara ya ukahaba mjini Dodoma wamekamatwa na
kupewa siku tatu kuondoka nchini, huku wawili kati yao wakikutwa na vidonge vya kupunguza makali ya virusi ya Ukimwi (ARVs).



IMEELEZWA
kuwa, mtuhumiwa Omar Mussa Makame (35) anayeshikiliwa na Jeshi la
Polisi kwa madai ya kumuua Padri Evaristus Mushi ni mwanachama wa CUF
ambaye aligombea nafasi ya uwakilishi katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka
2010 katika Jimbo la Rahaleo kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF).TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ZINAZOONEKANA ZA MTOTO AYUBU HAPA NICHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI TUKUYU
|











