Friday, March 08, 2013

WAZIRI WA UTALII ZAMBIA ATEMBELEA BANDA LA TANZANIA MAONYESHO YA (ITB) BERLIN

2 
6Waziri wa Wizara ya Utalii na Utamaduni wa Zambia Mh. Sylvia Masebo kipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki Mara baada ya kutembelea katika banda la Tanzania na kukutana na viongozi Kadhaa wa Wizara ya Maliasili na Utalii na kufanya nao mazungumzo kuhusiano na ushirikiano kati ya Zambia na Tanzania katika masuala ya Utalii Bodi ya Utalii Tanzania inaongoza ujumbe wa Wafanyabiashara ya Utalii zaidi ya 43 kutoka nchini Tanzania katika maonyesho ya dunia ya (ITB) yanayofanyika kwenye jengo la Mense Berlin jijini Berlin UjerumaniWaziri wa Wizara ya Utalii na Utamaduni wa Zambia Mh. Sylvia Masebo akisikiliza kwa makini wakati Mkurugenzi wa Utalii Wizara ya Maliasili na Utalii Bw. Ibrahim Mussa akizungmuza wakati waziri huyo alipotembelea banda la Tanzania katika maonyesho ya (ITB) jijini Baerlin jana katikati ni Katikati ni Balozi Chiti Balozi wa Zambia nchini Ujerumani

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...