Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia
Kabaka akizungumza na kuzindua wimbo
maalum wa NSSF uliotungwa na Wasanii hapa nchini wajiitao All Stars,mbele ya wadau waliohudhuria mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.Kauli mbiu ya mkutano huo kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akifafanua jambo kwa umakini mbele ya Wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike..

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crenscentius Magori akifafanua jambo mapema leo asubuhi wakati mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,ukiendelea kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

Meneja wa kanda na
anaeshughulikia Idara mbalimbali za serikali kutoka
NSSF,Rehema Chuma akifafanua namna ya uendeshaji wa shirika hilo kwa wadau waliohudhuria mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa
AICC,jijini Arusha.

Mbunge wa
Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe akichangia moja ya mada
zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi
wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu (LHRC), Wakili Harold Sungusia akichangia moja ya mada
zilizokuwa sikitolewa kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo Februari 13,kwenye ukumbi
wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Pichani ni
Mwenyekiti wa wasataafu wa TAZARA,Injinia Mwl.Sango akitoa ushuhuda wake
kuhusiana na namna shirika la NSSF lilivyowasaidia wastaafu wa shirika
la TAZARA,kupitia mfuko wa pensheni na fao la kujitoa.
Sehemu ya
Meza kuu ya mkutano huo.
Sehemu ya
Wabunge waliopo kwenye mkutano huo.
Baadhi ya
Wakurugenzi wa Mifuko ya Jamii nchini wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya
watendaji wakuu wa NSSF wakiwa mkutanoni.
Meneja Mahusiano wa PPF,Lulu Mengele na Meneja Mahusiano wa SSRA,Sarah
Kibondewakifuatilia yanayojiri ndani ya mkutano huo unaoendelea hivi
sasa.
Mbunge wa
jimbo la Mbeya Mjini (CHADEMA),Mh Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akiwa
sambamba na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh Joshua Nasari (CHADEMA) na
Wadau wengine wakifuatilia yanayojiri hivi sana kwenye mkutano wa NSSF.
Baadhi ya
Wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali wakifuatilia yanayojiri ndani
ya mkutano wa NSS unaoendelea hivi sana ndani ya ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha.
Mbunge wa jimbo la Ludewa,Mkoani
Njombe,Mh. Deo Filikunjombe (CCM) akiwa na baadhi ya Wabunge Wenzake
wanaohudhuria mkutano huo wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri
ndani ya mkutano huo ambao umewakutanisha wadau zaidi ya 1000 kutoka
sehemu mbalimbali jijini Arusha.
Mwenyekiti
wa kikao cha awamu ya kwanza cha Mkutano wa tatu wa Wadau wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Bwa.Daudi Msangi akitoa
utaratibu kwa Wanachama na wadau mbalimbali waliohudhuria mkutano huo
unaoendelea ,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha,kulia kwake ni Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori mapema leo asubuhi
kabla ya kuanza kwa mkutano wa shirika hilo.
Wadau.
Mkutano ukiendelea. Picha zote na
Othman Michuzi
No comments:
Post a Comment