Wednesday, March 18, 2015

BAADA YA VURUGU KUDUMU KWA SIKU TATU MFURULIZO, HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA TUNDUMA LEO MCHANA

  Wakinawa uso kufuta moshi wa mabomu.

Mkazi wa Tunduma ambae jina lake halikufahamika mara moja akionyesha bomu la machozi ambalo halijatumika alilomnyang'anya askari na kukimbia nalo. Tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, pia usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.

 Watoto nao wamo, hawaogopi mabomu ya machozi. Hatari hii.
Diwani wa Tunduma Bwana Frank Mwakajoka akiwaeleza wananchi kilichomsibu mara baada ya kukamatwa na Polisi, kusoto ni Mbunge wa Jimbo la Momba Mh. Silinde. Endelea kutembelea blog hii tutakuletea habari zaidi.

 Picha na Mbeya Yetu 


 

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...