Thursday, August 01, 2013

MWANAJESHI AMGONGA RAIA BAADA YA KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI KATIKA MATAA YA KUONGOZEA MAGARI ENEO LA TAZARA DAR ES SALAAM



Gari lililomgonga raia likipita katika upande wa kulia zinakotokea gari za Buguruni,Ubungo,baada ya dereva kukiuka sheria za usalama barabarani.

 Raia aliyegongwa akiwa hoi baada ya kugongwa na dereva wa gari la Jeshi akipepewa na askari Jeshi.

 Askari Polisi wa Usalama barabarani wakimshuhudia raia aliyegongwa eneo la TAZARA pamoja na dereva aliyemgonga akiangalia nyuma nje ya gari huku trafiki akiwa ndani ya basi hilo.

 Baadhi ya wananchi wakiangalia tukio.

 Raia wakiangalia na waliokuwa ndani ya gari wakimuangalia aliyegongwa.

 Askari akimsaidia aliyegongwa kumpeleka kwenye bajaj ili ampeleke hospital.

 Raia aliyegongwa ameumia sehemu za shingo,usoni,machoni,mkononi na miguuni akiwa amevuja damu nyingi.




 Raia akiwa hoi akipewa msaada wa kupakiwa ndani ya Bajaj.

Akiwa kwenye Bajaj pamoaja na Askari akipelekwa kupatiwa matibabu.Picha Na Yusuph Badi Wa Tanzania Live Blog

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...