Rais
Obama pamoja na Bush walikutana leo Asubuhi katika Ubalozi wa Marekani
uliopo jijini Dar es Salaam na kufanya tendo la kutoa heshima zao kwa
Walipoteza Maisha pamoja na wale wote walioathirika katika shambulio la
Ugaidi katika Ubalozi wao hapa nchini mwaka 1998.
No comments:
Post a Comment