Saturday, March 30, 2013

"NYIE WALALA HOI MIE SIHESABU MATUSI NAHESABU MAHELAAAAAAAA.''MANGE KIMAMBI


 Mange Alikuwa Arusha Ambapo Alipeleka Vitu vya Kuuza Kutoka Ulaya Hizo ndio Picha na Maneno aliyoandika kwenye Website yake..........

HIKI NDICHO ALICHO ANDIKA....

"NYIE WALALA HOI MIE SIHESABU MATUSI NAHESABU MAHELAAAAAAAA...


MKIMALIZA KUTUKANA NJOONI NIWAPE AJIRA.

....LOLEST!!!!!

SIJIBISHANI NA WACHOVU...........


NDO KWANZAAAAA NATENGEZA MAHELAAA NA MUME ANANISUBIRI KWA HAMU,


MTACHONGA SANA HAACHWI MTU NA BONGOLICIOUS NDO MAMBO YOOOOTE.......


MWAKA HUU MTAISOMA NUMBERRRR.......


HATA MUONGEE NINI MIE NDO MANGE KIMAMBI NA MTAENDELEA KU KISS THE


GROUND I WALK ON........." Says Mange
SOURCE THE CHOICE

1 comment:

Utamu Wawakubwa said...

Wenye nazo hawapigi makelele,AU KAANZA LEO? USPIGE MAYOE ACHA WAYAONE WENYEWE.

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...