Ndege ya 3 aina ya Bombardier Q400 imewasili leo nchini toka Canada na
kupokelewa na kuzinduliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Ndege mpya ya Shirika
la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere huku ikipewa heshma ya kumwagiwa maji(water salute) mara baada ya
kutua.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth
Magufuli watatu kutoka kulia, pamoja na viongozi mbalimbali wa dini, viongozi
wa Serikali wakipiga makofi wakati wakiipokea Ndege mpya ya Shirika la ndege la
ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere.
Ndege mpya ya
Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 ikiwa imeegeshwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth
Magufuli, viongozi mbalimbali wa dini na Serikali akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa ndege Ndege
mpya ya Shirika la ndege la ATCL aina ya Bombardier Q400 mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono marubani
wawili waliokuja na ndege hiyo mpya.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono na kushukuru wakati akiingia katika ndege hiyo mpya ya
Bombardier Q400 iliyowasili kutoka nchini Canada
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wa dini na wa ATC ndani ya ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishangiliwa na umati wa wananchi baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya KKKT Dkt. Alex Malasusa baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018..(Picha na Ikulu)

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitelemka
kutoka kwenye ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 ilipoipokea
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal,
Canada, leo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana
na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack Zoka huku akishuhudiwa
na marubani mara baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash
Q-400 ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
ikitokea Montreal, Canada, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishangiliwa na umati wa wananchi baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya KKKT Dkt. Alex Malasusa baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018..(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment