Thursday, April 09, 2015

HII NDIO YANGA: YAIFUNZA COASTAL UNION ADABU, YAIFUNGA 8 - 0....!!!

Kiungo wa Yanga, Salum Telela, akimiliki mpira mbele ya
wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga imeshinda 8-0.

(Picha na Francis Dande).
Simon Msuva akishangilia bao aliloifungia timu yake.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia. Tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, pia usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.
Haruna Niyonzima akiruka kihunzi cha, Hamoud Abdulhalim.
Amis Tambwe akiwatoka wachezaji wa Coastal Union.
Mwamuzi wa mchezo kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga,
Simon Mbelwa, akimpa ‘tano’ mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe, baada ya kuifungia.


timu yake ‘hat trick’ na kukabidhiwa mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka
Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Amis Tambwe akipongezwa na kocha wake.
Amis Tambwe akipongezwa na mashabiki wa Yanga.
http://jambotz8.blogspot.com/
Tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, pia usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...