Friday, November 14, 2014

TAZAMA TASWIRA ZA MAZISHI YA MSANII MABOVU IRINGA JANA


Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza la msanii Mabovu kutoka msikiti wa Mwangata kwenda makaburi ya Mlolo Iringa siku ya jana.
Msafara wa magari kuelekea makaburini.
Asante kwa kutembelea blog hii na endelea kuwa nasi siku zote, kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz
Mwili wa marehemu Mabovu ukiwekwa sawa kabla ya kuzikwa siku ya jana.
Waombolezaji wakiuzika mwili wa Mabovu.
Msanii Joh Makini akiwa katika mazishi.
Wasanii mbalimbali wakiwa katika mazishi ya mabovu jana. Asante kwa kutembelea blog hii na endelea kuwa nasi siku zote, kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz
Bashiri akiongelea kifo cha Mabovu.
Msanii Nurdin (kushoto) akiwa na Geofrey Ngelime  wakati wa mazishi ya Mabovu.
Marafiki wa marehemu Mabovu wakiwa katika picha mara baada ya mazishi mwenye nguo nyekundi ni mtangazaji wa Ebony Fm Edo Bashiri, msanii DJ Nacy (wa tatu kulia) ni na msanii Nurdin.

Marafiki na wasanii mbali mbali wakiweka chata zao katika kaburi ya Mabovu.
Wasanii wakiwa wamechora chata mbali mbali juu ya kaburi la Mabovu.


Baadhi ya  wasanii wa kundi la Weusi ambao  wamefika  Iringa kumzika msanii Mabovu jana.

Rapper Joh Makini akichangisha rambi rambi. Asante kwa kutembelea blog hii na endelea kuwa nasi siku zote, kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz
(PICHA NA FRANCIS GODWIN)

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...