Tuesday, August 12, 2014

ANGALIA PICHA ZA MELI ALIYOKODI TAJIRI BILL GATES KWA TSHS BILLION 8 KWA WIKI...!!!

article-2719109-2057AB6700000578-788_634x422 Katika meli hiyo helikopta zinamchukua Gates kumpeleke nchi kavu kucheza golf na kumrudisha Ni tajiri namba moja duniani mwenye utajiri unaofikia dola bilioni 79.2 hivyo kutumia shilingi bilioni nane kwa wiki si kitu kinachoweza kumpunguzia chochote Bill Gates. Na ndio maana Bill Gates yupo mapumzikoni ambayo tunategemea kwa mtu tajiri zaidi duniani ayafanye. 
article-2719109-2057BE7A00000578-683_634x422 

Tajiri huyo amekodi meli binafsi maarufu yacht ambayo analipa dola milioni 5 (zaidi ya shilingi bilioni 8) kwa wiki.  Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz

article-2719109-20578E4800000578-901_634x366

The Serene Gates yupo kwenye boti hiyo kubwa na mke wake Melinda na watoto wake Rory, Jennifer na Phoebe nchini Italia. Mwanzilishi huyo wa Microsoft ameamua kupumzika kwa kukodi yacht hiyo iitwayo The Serene yenye ukubwa wa futi 436 inayomilikiwa Yuri Scheffler.
 article-2719109-20578E4400000578-635_634x423

Muonekano wa sehemu moja wapo ya ndani article-2719109-2053BB8300000578-962_634x497 article-2719109-2053BBC000000578-614_634x539 
article-2719109-2053BC0200000578-210_634x514 
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...