Wednesday, July 24, 2013

HATIMAE KITUKUU CHA MALKIA ELIZABETH CHAPEWA JINA....!!!

Prince William akiwa na familia yake saa24 baada ya mtoto George Alexander Louis kuzaliwa.

Prince William akiwa na familia yake saa24 baada ya mtoto George Alexander Louis kuzaliwa.
Prince William alipokuwa amezaliwa akiwa amebebwa na baba yake Prince Charles na mama yake Princess Diana mwaka 1982.

Prince William alipokuwa amezaliwa akiwa amebebwa na baba yake Prince Charles na mama yake Princess Diana mwaka 1982.
image
Prince William na mwanaye George Alexander Louis.
Prince William na mwanaye George Alexander Louis.
Siku mbili baada ya kuingia rasmi duniani mtukuu wa malkia Elizabeth ambaye ni mtoto mchanga wa Prince William na Mkewe Kate Middleton amepewa jina rasmi .

Mtoto huyo ambaye hii leo alikutanishwa na bibi yake kwa mara ya kwanza amepewa jina La George Alexander Louis ambalo ndio litakuwa jina lake rasmi.

Pamoja na kukutana na bibi yake mkuu hii leo George Alexander Louis ambaye umri wake ni siku mbili tu alipelekwa kijijini kwa wazazi wa mama yake Kate Middleton kama ilivyo kwenye utamaduni wa watu wa Uingereza.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...