Thursday, June 06, 2013

UMATI WA WAKAZI WA MOROGORO WALIOJITOKEZA KUUAGA MWILI WA NGWEA.... UWANJA WA JAMHURI WAFURIKA..!!

 Wananchi waliojitoka uwanjani
                                     Huyu nimmoja kati ya walipoteza fahamu uwanjani





zoezi la uuagaji wa mwili ukiendelea
Rafiki wa wa karibu wa marehemu Albert Mangwea aliyekuwa amelazwa nchini Afrika Kusini amerejea Tanzania na yuko njiani akielekea mkoani Morogoro kwaajili ya kushiriki mazishi ya swahiba wake Mangwea jioni ya leo


Hii ni kwenye mlango wa kuingia uwanja wa Jamuhuri kuuaga mwili wa Marehemu Ngwea
Morogoro.Foleni ya kwenda kumuaga marehemu Albert Mangwea kwenye uwanja wa Jamuhuri Morogoro.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...