Thursday, June 06, 2013

MUME WA KHADIJA KOPA AFARIKI DUNIA



Khadija Omar Kopa akiwa na mumewe Jaffari Ally enzi za uhai wake.
Mume wa Malkia wa Mipasho Afrika Mashariki, Khadija Omar Kopa, aitwaye Jaffari Ally amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. 

Marehemu alikuwa anasumbuliwa na matatizo katika mfumo wa upumuaji na mpaka mauti yanamfika alikuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya Bagamoyo.
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN.

1 comment:

Anonymous said...

Pole Khadija Mungu akupe roho ya imani na aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi!

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...