Wednesday, June 05, 2013

MPYA KUHUSU BINTI WA KITANZANIA ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NA KUHUKUMIWA KUNYONGWA IJUMAA HII

Hii ndio picha ambayo imesambaa kwenye mitandao mingi ya msichana anesemekana ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amehukumiwa kunyongwa huko egypt baada ya kukamatwa na unga.
Hii ni screenshot ya video hii hapa chini baada ya kukamatwa kwake na unga, Ingawa habari hizi hatuna uhakika nazo kama ni Mtanzania kama invyodaiwa na wengi au ni mswahili wa Oman kama wengine wanavyodai
Mrembo Fatma aka Brown Berry katika pose
Uwii I hope this is not true maskini hapa insemekana yuko na mwanae dah!!!!!
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
Katika tafuta tafuta zangu za hape na pale nimekutana na hizi picha ambazo zinadai kwamba huyo ndo mrembo ajulikane kama Fatma almaarufu kwa jina la Brown Berry wa mitaa ya Ilala Jijini Dar es salaam aliyehukumiwa kunyongwa baada ya kupatikana na unga nchini Misri. Inarepotiwa kwamba siku yake ya kunyongwa ni Ijumaa hii tarehe 7 June 2013 huko huko Misri.

KUSEMA UKWELI HABARI HIZI SINA UHAKIKA NAZO JAPO KUWA ZIMESAMBAA KILA SEHEMU NIKAONA SI VIBAYA NIKSHARE NA NYIE WADAU PIA. SO KAMA KUNA MWENYE HABARI ZA KWELI TUNAOMBA UTUJULISHE KUPITIA EMAIL YETU habarimpasuko@gmail.com

Update kutoka kwa Le Mutuz Baharia aka William Malecela ni kwamba amepigiwa simu na watu waliojitambulisha kama ndugu zake huyu binti wenye namba ya simu 0652-172-571 na kumweleza kwamba ni kweli kakamtwa ila bado haja hukumiwa na hana passort ya Tanzania

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...