Lile
fumbo ambalo limekua likiumza vichwa vya wadakuzi wingi wakijiuliza
Wema anawezeshwa na nani sasa limepatiwa majibu. Kwa mujibu wa wadaku
waliobobea wametamba kunyaka fulu data za mnyange huyo ambae aliwaacha
watu midomo wazi baada ya kumlipia msanii mwenzake mamilioni ya
shilingi na kumuepusha kwenda Segerea. Wadau hao wa udaku wamekataa
kumtaja boss huyo ambae ni milionea tena ni mtoto wa mwanasiasa ambaye
aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania miaka ya nyuma."Unajua bwana Wema
sasa hivi kaingia kwa tajiri asieishiwa huyu jamaa ana pesa kama
mchanga, tena Wema akitulia mbona atafanya vitu
vikubwa hadi watu washangae kwasababu jamaa huyo anampenda sana"
Akiongea kuhusu karibu wake na huyo tajiri wa Wema mtoa data huyo
alisema yeye ni rafiki wakaribu sana na bosi huyo na hapendi watu wajue
ishu hizo hivyo akimtaja milionea huyo atajua yeye ndie aliyevujisha
siri zake
From: zeddylicious
|
No comments:
Post a Comment