KIMENUKA! Habari ya mjini kwa sasa ni bethidei ya Miss Tanzania 2006,
Wema Sepetu kutimiza miaka 26 tangu kuzaliwa, lakini ndani ya tukio
hilo, mengine yameibuka!
Miongoni mwa yaliyoibuka kwenye sherehe hiyo iliyofanyika Jumapili
iliyopita nyumbani kwa Wema, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es
Salaam ni madai ya mama Wema, Mariam Sepetu kudaiwa kupewa nafasi ya
kutoa ‘neno la hekima’ lakini akaitumia kumvurumishia mitusi aliyekuwa
shosti wa Wema, Kajala Masanja.
KUNASWA KWA SAUTI NA PICHA
Baada ya sherehe hiyo, Jumatatu na Jumanne, mitandao mingi ya kijamii ilitumbukiza video yenye sauti ikimuonesha mama Wema akimrushia matusi Kajala kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutokana na kukorofishana kwa mwanaye na Kajala aliyewahi kumfadhili mahakamani kwa kumlipia faini ya shilingi milioni 13 asiende jela kwa kesi ya kuuza nyumba iliyokuwa na zuio la kisheria.

Wema Sepetu akiwa na mama yake.
KAJALA AAMUA ZITO
Katika kufuatilia sakata hilo, Amani lilinyetishiwa kwamba Kajala baada ya kushindwa kuvumilia, ameamua kumshitaki mahakamani mama Wema. Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz