Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera
waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya
mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.
PICHA NA IKULU
Siku za hivi karibuni mwigizaji anayefanya vizuri kwasasa katika filamu
nchini Niva Zubery amekuwa akiweka status zikimhusu mwigizaji mwenzake
Wema Sepetu na baadhi ya mashabiki wa mastaa hao na wasomaji wa
Swahiliworldplanet kutaka kuupata ukweli kama mastaa hao ni wapenzi kwa
siri au lah. "nyie swp hembu muulizeni Niva kama mtu wake kwasasa ni
Wema coz status zake ni za kuchombeza kwa bibieee then kama wako close
sana siku hizi, maskini kaka wa watu kaoza kwa wema tayariii !" alisema
shabiki mmoja wa kike aliyekataa kutajwa jina lake. Status za Niva
zinaonekana kama kuchombeza kitu flani kwa Wema kwa mujibu wa wasomaji
walioitonya SWP. Baadhi ya status hizo za Niva katika facebook yake ni
hizi hapa "Baaabaa eti wewe upo na wemaa?
(Apana mwanangu) huku akiwa ameweka picha yake mwenyewe na ya mtoto
anayedaiwa kuwa wake", nyingine iko hivi "Niva hanipokerei cm jamaani mwambieni basi kama nampigiaa mwambieeni nawaomba tafazalii" huku akiwa amepost picha ya Wema Sepetu akiwa ameweka simu sikioni".
Status nyingine akiwa ameweka picha hiyo hapo chini wakiwa pamoja na Wema ilisomeka hivi "Etiiiiiii kama tunamuaa kuwa nanihiii na nanihiii itakuwa poa? basi nipe maoni yako ili nijue simmeshajua nilicho maanisha so nataka jibu ili nijue". Baadhi ya wachangiaji walimwambia Niva kuwa wakiwa wapenzi yeye na Wema watapendeza huku wengine wakimwambia kuwa Wema sio hadhi yake, wengine walimwambia ajaribu bahati yake kama tayari ameshamzimikia mrembo huyo. Ili kuupata ukweli kutoka kwa Niva mwenyewe kama baadhi ya wasomaji walivyotutumia ujumbe mwanzoni ilibidi kumtafuta Niva jana na kumueleza kila kitu na yeye alikataa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Wema na alipoulizwa kama kweli sio wapenzi status zake zikionekana kwa mtu wa Wema si zinaweza kuzua tafrani? Niva alijibu kwa ufupi kwa kusema "hakuna kitu kama hicho kaka" Niva na Wema |
Mabibi na mabwana mko tayari kwa ujio mwingine wa Ray- C. Malkia wa
kiuno bila mfupa Rehema Chalamila aka Ray-C ametangaza ujio wake rasmi
baada ya kuwa chimbo kwa kipindi kirefu toka apate matatizo miezi kadhaa
iliyopita. Ni baada ya siku chache kupita toka Ray-C atamke kuwa anapenda sauti ya ‘dogo lake’ Recho na kuwa atakuja kufanya naye kazi, leo amethibitisha kuwa mwezi Agosti ndio anarudi rasmi kutoka chimboni. |