Pia yupo Sally Mukhanji ambaye yupo Tanzania sasa hivi amemaliza kutupa ushuhuda jinsi Ben maarufu kama HR yaani Hit and Runalivyokua akifanya biashara ya Dola Fake,na Euro akiwa New Delh India. Picha hiyo ya wadada wa pili ambaye alipiga na Ben ambaye mkono ndiyo unaonekana ameitoa pamoja na nyingine nitazileta soon. Huyu anajua mengi yaliyofichwa . Sasa kama chadema imejaza watu kama akina Lema aliyebaka, Mnyika aliyekutwa na mwanafunzi quality plaza na mbowe aliyempa mimba mbunge wa viti maalumu kama alivyoripoti kamaradi Mtela Mwampamba unategemea nini. Hawa Wakenya wanalalamika na nitashangaa kama kuna mwanaume wa kitanzania atafurahi kuchafuliwa image yake kama ben alivyoharibu sifa ya wanaume wa kitanzania.Turekebishe tabia za wanasiasa wetu. Matusi ya vijana wa Chadema hayanisumbui maana kama mnapanga kuteka watu hakuna msiloshindwa
Friday, May 17, 2013
KIONGOZI WA CHADEMA ATUHUMIWA KUMLAZIMISHA KUTOA MIMBA
"Fridah Kerubo mwanafunzi wa chuo cha MDU Rohtaki India anayesoma masters ya Sheria yupo tayari kutoa ushuhuda jinsi Mtanzania Ben Saanane alivyompa Mimba na kisha baadae kumshawishi kuitoa la sivyo angemuonyesha kila rangi na kisha baadae kwenda uinereza.
Pia yupo Sally Mukhanji ambaye yupo Tanzania sasa hivi amemaliza kutupa ushuhuda jinsi Ben maarufu kama HR yaani Hit and Runalivyokua akifanya biashara ya Dola Fake,na Euro akiwa New Delh India. Picha hiyo ya wadada wa pili ambaye alipiga na Ben ambaye mkono ndiyo unaonekana ameitoa pamoja na nyingine nitazileta soon. Huyu anajua mengi yaliyofichwa . Sasa kama chadema imejaza watu kama akina Lema aliyebaka, Mnyika aliyekutwa na mwanafunzi quality plaza na mbowe aliyempa mimba mbunge wa viti maalumu kama alivyoripoti kamaradi Mtela Mwampamba unategemea nini. Hawa Wakenya wanalalamika na nitashangaa kama kuna mwanaume wa kitanzania atafurahi kuchafuliwa image yake kama ben alivyoharibu sifa ya wanaume wa kitanzania.Turekebishe tabia za wanasiasa wetu. Matusi ya vijana wa Chadema hayanisumbui maana kama mnapanga kuteka watu hakuna msiloshindwa
Pia yupo Sally Mukhanji ambaye yupo Tanzania sasa hivi amemaliza kutupa ushuhuda jinsi Ben maarufu kama HR yaani Hit and Runalivyokua akifanya biashara ya Dola Fake,na Euro akiwa New Delh India. Picha hiyo ya wadada wa pili ambaye alipiga na Ben ambaye mkono ndiyo unaonekana ameitoa pamoja na nyingine nitazileta soon. Huyu anajua mengi yaliyofichwa . Sasa kama chadema imejaza watu kama akina Lema aliyebaka, Mnyika aliyekutwa na mwanafunzi quality plaza na mbowe aliyempa mimba mbunge wa viti maalumu kama alivyoripoti kamaradi Mtela Mwampamba unategemea nini. Hawa Wakenya wanalalamika na nitashangaa kama kuna mwanaume wa kitanzania atafurahi kuchafuliwa image yake kama ben alivyoharibu sifa ya wanaume wa kitanzania.Turekebishe tabia za wanasiasa wetu. Matusi ya vijana wa Chadema hayanisumbui maana kama mnapanga kuteka watu hakuna msiloshindwa
MBUNGE MSIGWA AMTAKA KINANA KWENDA MAHAKAMANI KESHO
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa amewataka wafanyabiashara ndogo ndogo (machinga ) mjini Iringa kuendelea kufanya kazi katika eneo la Mashine tatu bila kufanya vurugu zozote kwa wale wanaozuia kufanya hivyo.
Akizungumzia suala la Machinga kuendelea kunyanyasika mbunge Msigwa amesema kuwa tayari suala hilo ameanza kulipigania bungeni kwa waziri mwenye dhamana hivyo kamwe machinga Iringa wasikubali kunyanyasika .
Aidha mbunge huyo amemtaka katibu mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Bw Kinana kutosubiri muda wa siku 21 alizozitoa kumfikisha mahakamani kuwa yupo tayari kwenda mahakamani hata kesho.
Mbunge Msigwa amesema kuwa katika ukweli kama hata kuwa tayari kumwogopa mtu na kuwa siku zote atasimama katika ukweli katika kupigania maslahi ya Taifa hili. Mbunge Msigwa amesema kuwa hatua ya katibu mkuu wa CCM kukimbilia katika vyombo vya habari kutishia kumfikisha mahakamani bila yeye mhusika kupelekewa taarifa ni sawa na kumwogopa na hivyo suala la Kinana kwenda Mahakamani si sawa ni kumtishia nyau mtu mzima.
Kwani alisema kuwa Chadema ina mawakili waliojitosheleza na kuwa hawatanyamaza kusema ukweli kwa kuogopa vitisho vyovyote .
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini akiwahutubia umati mkubwa wa wananchi wa jimbo hilo jioni hii katika eneo la stendi kuu ya mabasi ya mikoani.
MSANII WA CAMP MULLA ALIYEWAHI PIGA CHAFU ATIMULIWA NDANI YA KUNDI HILO
Habari zilizosambaa katika mitaa ya area code +254 zinadai kuwa kundi la hip hop lenye mafanikio makubwa nchini Kenya, Camp Mulla limempiga chini first lady na lead singer wa kundi hilo, Miss Karun kutokana na skendo zinazomkabili
Kwa mujibu wa maneno ya mtaani inasemekana nafasi ya Miss Karun itachukuliwa na mrembo mwingine aitwaye Tiri, ambaye ni mpenzi wa member na producer wa kundi hilo K’cous
Siku chache zilizopita kulizuka uvumi wa uwezekano wa members wa kundi hilo kuendelea na solo projects kwa kila mmoja wao ifikapo mwezi June 2013, kitu ambacho kinafanya tetesi za Miss Karun kuondolewa kundini kuchukuliwa kama dalili za kuvunjika kwa kundi hilo.
Camp Mulla wanategemea kupanda kwenye jukwaa moja na Snoop Lion katika concert ya MTV all stars Kwa Zulu-Natal hivi karibuni nchini Africa Kusini, show ambayo watampandisha mrithi wa Miss Karun kwa mara ya kwanza.
Thursday, May 16, 2013
BAADA YA FERGIE NA SCHOLES - DAVID BECKHAM NAE ATANGAZA KUSTAAFU SOKA MWISHONI MWA MSIMU HUU
Kustaafu ndio habari iliyoshika hatamu nchini Uingereza hiv sasa - wiki moja baada ya kustaafu kwa Sir Alex Ferguson, Paul Scholes, leo hiimchezaji wa zamani wa Man United na nahodha wa zamani wa EnglandDAVID BECKHAM ametangaza kutundika daluga. Beckham, 38, ameisadia Paris Saint-Germain kubeba kombe la Ligue 1 kwa mara ya kwanza ndani miaka 19 mwishoni mwa wiki hii.
Pamoja na kupewa ofa ya mkataba mpya na timu hiyo ya Ufaransa, mkongwe huyo atastaafu baada ya mchezo wa mwisho tarehe 26 mwezi huuA.
Alisema: “Shukrani sana kwa PSG kwa kunipa nafasi ya kuendelea kuwa hapa lakini sasa nadhani ni muda sahihi wa kustaafu, kucheza kwenye soka la kiwango cha juu”
Becks alianza kucheza akiwa na Manchester United, akifunga mabao 85 katika mechi 394, kabla ya kuhamia Real Madrid.
Aliondoka Spain kwa uhamisho mnono kujiunga na LA Galaxy mwaka 2007 pia aliwahi kucheza kwa mkopo mara kadhaa kwenye klabu ya AC Milan wakati akiwa kwenye Major League Soccer.
CCM YAWAPONGEZA VIONGOZI WA DINI
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi iliyokutana jana Mjini Dodoma imeipongeza serikali kwa hatua inayoendelea kuchukua katika kuchunguza chanzo cha tukio la mlipuko wa Bomu uliotokea Kanisani Jijini Arusha.
Bomu hilo lilirushwa Mei Tano mwaka huu wakati wa uzinduzi wa Kanisa la Romani Katoliki la Mtakatifu Joseph Mfanyakazi Parokia ya Olisiti na kusababisha vifo vya watu watatu na majeruhi kadhaa.
Akizungumza leo Jijini Dar es salaam Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi NAPE NNAUYE ameeleza kuwa taarifa hiyo ya serikali iliwasilishwa jana katika kikao hicho na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dokta EMMANUEL NCHIMBI .
Kufuatia tukio hilo, Kamati Kuu imelaani na imeitaka serikali kuharakisha uchunguzi pamoja na kuongeza kasi ya uchunguzi wa suala hilo sanjari na kutafuta mzizi wa matukio hayo pamoja na kutoa taarifa mara kwa mara kuhusu maendeleo ya uchunguzi wa tukio hilo.

AUNT LULU AAMUA KUACHANA NA MASHOGA....!!
Akizungumza na mwandishi wetu, Aunty Lulu alisema baada ya kuandamwa na maneno juu ukaribu wake na wanaume hao, mama yake mzazi na mpenzi wake wa sasa ambaye hakutaka kumtaja, wamemzuia ‘kumpiga stop’ kumuona na watu hao.
“Sasa hivi ndugu zangu ndiyo wamekuwa marafiki zangu, sitembei kabisa na kuku watamu. Siwezi kumuudhi mume wangu mtarajiwa, mama na hata ndugu wengine, nimeamua kuachana nao,” alisema Aunty Lulu ambaye pia ni mtangazaji ‘deiwaka’.
KOCHA WA TAIFA STAR KIM ATAJA TIMU YAKUIKABILI MORROCO
kocha Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Kim Poulsen ameongezewa mkataba wa miaka miwili, leo ametaja kikosi cha timu hiyo kitakachoingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Morocco mwezi ujao kuwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia mwakani.
Katika kikosi hicho, kocha huyo Mdenmark amemuorodhesha kipa wa Yanga, Ally Mustafa ‘Barthez’ pamoja na makipa wengine watatu, Juma Kaseja wa Simba SC, Mwadini Ally na Aishi Manula wa Azam.
Upande wa mabeki amewaita Erasto Nyoni, Aggrey Morris wa Azam, Kevin Yondan, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ wa Yanga SC, Shomary Kapombe wa Simba SC na Yahya Mudathir wa Azam.
Kwa viungo, Poulsen amewaita Haroun Chanongo, Mrisho Ngassa wa Simba SC, Simon Msuva, Frank Domayo, Athumani Iddi ‘Chuji’ wa Yanga SC, Salum Abubakar, Khamis Mcha ‘Vialli’ wa Azam FC na washambuliaji ni Mbwana Samatta, Thomas Ulimwengu wa TP Mazembe ya DRC, John Bocco wa Azam FC, Juma Luizio wa Mtibwa Sugar na Zahor Pazi wa JKT Ruvu.
UKAHABA WALIGUSA BUNGE
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Kundi la Vijana Mkoa wa Arusha, Catherine Magige aliyeanzisha mjadala.
Spika wa Bunge, Anne Makinda.
BIASHARA ya ukahaba imeligusa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani Jumanne iliyopita takribani dakika nane zilitumika kuijadili inavyoshamiri na namna ya kuitokomeza.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Kundi la Vijana Mkoa wa Arusha, Catherine Magige, ndiye aliyeanzisha mjadala asubuhi katika kipindi cha maswali na majibu, baada ya kumuuliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto kuhusu mpango wa serikali kudhibiti ukahaba.
Magige aliuliza kuhusu fikra za serikali juu ya mpango wa kupeleka muswada bungeni, kuhusu uundwaji wa sheria ya kudhibiti ukahaba nchini.
Swali hilo la Magige, lilikwenda sambamba na maelezo kuwa biashara ya ukahaba inavyoshamiri, inazidi kusababisha mmomonyoko mkubwa wa maadili.
Alisema, biashara hiyo vilevile ni kichocheo cha kushamiri kwa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi, kuongezeka kwa watoto wa mitaani na kukua kwa uhalifu kwa sababu kuna uporaji hufanyika kwa kuwatumia hao wanaojiuza.
Akijibu swali hilo kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Sophia Simba, Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki alisema serikali inajitahidi kuimaliza biashara ya ukahaba nchini.
Natoa mualiko kwa LEMA kuja UK kusafisha jina lake, nitalipa ghrama za usafiri na makazi.
Ndugu zanguni,
Baada ya kuona kila kukicha tunaendelea kusikia hizi habari zenye kukera kuhusu kesi inayomkabili mbunge wa Arusha God bless Lema.
Mimi kama wananchi wengine sipendi kuona jina la mheshimiwa lina chafuliwa hivyo nimeamua kuwa nitalipa kila kitu kuanzia tiketi ya ndege, ada ya visa na pia gharama za hoteli, chakula na vinywaji kwa kipindi chote mheshimiwa atakapokuwa hapa.
by Chris Lukosi
KAJALA KUIGIZA FILAMU YA MAISHA YAKE HALISI SEGEREA, APONGEZWA NA KUPONDWA.
News is that actress Kajala Masanja anatarajia kucheza katika filamu ambayo itaelezea maisha yake halisi ya kesi yake iliyokuwa ikimkabili. filamu hiyo itaelezea tangu mwazo wa issue hilo, mahakamani, segerea mpaka anatoka baada ya Wema Sepetu kumtolea faini ya sh. millioni 13. Kajala mwenyewe amesema ni kweli na kwasasa story na script ndiyo vinafanyiwa kazi. Hata hivyo wadau wanaweza kuwa na hamu ya kuiona filamu hiyo kama kweli itafanikiwa kuonyesha mazingira halisi ya mahakamani na segerea kama ilivyokuwa kwa mwigizaji huyo kabla ya kuwa uraiani ikichukuliwa kwamba bado ni shida sana kupata location katika taasisi za serikali hasa huko segerea ambako Kajala mwenyewe aliwahi kusema kuna mambo ya kuhuzunisha sana.
Kwasasa inadaiwa Kajala anafanya filamu ya Princess Sasha chini ya Wema Sepetu huku tayari baadhi ya watu wakisema Kajala ana haraka sana pengine ameburuzwa na watu kuhusu kucheza story ya kesi yake kwakuwa bado mumewe yupo jela hajatoka lakini tayari yeye amepanga yake huku uraiani. Shabiki mmoja amesema " i think Kajala bado hajashauriwa vizuri kwa time hii kucheza maisha yake halisi hata miezi 2 bado kuisha". mashabiki wake wengine wamesema ni poa tu apige kazi " Kajala Nakuaminia Pamoja Sana Kazi Njema" amesema shabiki yake mmoja.
Wednesday, May 15, 2013
SISTER WA BANDIA, MTUMISHI WA MAHAKAMA WAKAMATWA KWA MATUKIO TOFAUTI
Mwanamke - anayejiita Sister Phylis Wanjiru Kamau, raia wa Kitui nchini Kenya akiwa ofisi za kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa Iringa, baada ya kukamatwa
Taarifa za kipolisi, za kukamatwa kwa Sister Feki Phylis Wanjiru Kamau.
JESHI la polisi mkoa wa Iringa limemkamata mwanamke Phylis Wanjiru mwenye umri wa miaka 44 aliyevalia mavazi ya kitawa wa masister wa kanisa Kathoriki, ambapo baada ya kupekuliwa amekutwa na baadhi ya vielelezo vilivyobaini kuwa ni tapeli.
Wanjiru ambaye ni raia wa nchi ya Kenya amekamatwa na jeshi la polisi baada ya masister wenzie kubaini kama si mmoja wao, kutokana na kushindwa kufanya baadhi ya masuala ambayo ni msingi wa utawa wao.
Akizungumzia mkasa huo, kamanda wa jeshi la Polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda amesema mwanamke huyo kabila laKe ni Muwembu wa nchini Kenya amekamatwa katika nyumba za masista zilizopo Ipogolo mjini Iringa.
WALIONASWA WAKIFANYA MAPENZI NA MBWA HUKO MOMBASA WAACHIWA KWA DHAMANA...!!
Washukiwa wa ukahaba, wasichana 11 na mzungu kutoka Uswizi, waachiliwa kwa dhamana. Awali iliripotiwa kuwa wasichana hao walibambwa wakifanya ngono na mbwa. Ripoti mpya zinasema suala la mbwa kuhusika na si kweli, na nyumba waliyokamatwa haina hata mbwa.
ANGALIA VIDEO HAPO CHINI......
ANGALIA VIDEO HAPO CHINI......
WABUNGE WA CCM WANUSURIKA "KUCHAPANA MAKONDE" BAADA YA KUZINGUANA BUNGENI...!!
WABUNGE wa CCM, jana walizua tafrani nje ya Ukumbi wa Bungebaada ya kukasirishwa na kitendo cha mwenzao wa Nkasi Kaskazini, Ali Keisy kupinga Bajeti ya Wizara ya Ujenzi wakati akichangia hotuba ya wizara hiyo.
Katika mchango wake, Keisy alisema haungi mkono hoja kwa sababu Barabara ya Sumbawanga hadi Kanazi-Mpanda mpaka Kibaoni haijajengwa kwa kiwango cha lami.
Alisema zilitengwa Sh27 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo lakini mpaka sasa Wachina waliopewa zabuni ya ujenzi huo wamekosa fedha na wameamua kuuza kokoto.
Alisema zilitengwa Sh27 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara hiyo lakini mpaka sasa Wachina waliopewa zabuni ya ujenzi huo wamekosa fedha na wameamua kuuza kokoto.
Mara baada ya Bunge kuahirishwa, Keisy akiwa nje ya ukumbi huo alifuatwa na Mbunge wa Urambo Mashariki, Profesa Juma Kapuya, Omary Nundu (Tanga Mjini), Mendrady Kigola (Mufindi Kusini) na Rita Kabati (Viti Maalumu) na kumzonga.
Baada ya wabunge hao kumzonga, Profesa Kapuya ambaye amewahi kuwa waziri serikalini alihoji kitendo cha mbunge huyo kupinga bajeti... “Kwa nini umekataa kuunga mkono hoja? Ulikuwa unalidanganya Bunge wakati unachangia si kweli huko Rukwa hakuna barabara, barabara mnazo.”
Subscribe to:
Posts (Atom)