Sunday, April 07, 2013
ANGALIA PICHA ZA NDOA YA MZEE PHILIP MANGULA NA MWALIMU YOLANDA KABEREGE, JANA
Akifungisha
Ndoa Hiyo Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kusini Njombe Isaya
Mengele Amekumbusha Maneno ya Mungu na Kuwataka Wanandoa Kuishi Kwa
Misingi ya Dini Kama Ilivyoelekezwa Kwenye Vitabu Vya Dini.
Kulia ni mkuu wa wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwa na waziri mkuu Mizengo pinda katikati akifuatiwa na Katibu mkuu wa CCM.
Kushoto
ni msemaji wa familia ya mzee Philip Mangula Dr.Lechion Kimilike
ambaye ni Mhadhiri wa chuo kikuu huria cha Tanzania Tawi la
Njombe[NJOMBE OPEN UNIVERSITY].
Saturday, April 06, 2013
MSANII WA BONGO FLEVA AFARIKI DUNIA KWA KUJIDUNGA SINDANO ZA MADAWA YA KULEVYA....!!
MSANII
chipukizi wa muziki wa kizazi kipya aliyetambulika kwa jina moja la
Rocky mkazi wa Kawe, Dar amefariki dunia baada ya kujidunga madawa ya
kulevya.
Kwa mujibu wa chanzo kilichoshuhudia tukio hilo na kuomba hifadhi ya jina lake, marehemu anayekadiriwa kuwa na umri wa
Ray C
AFUNGWA MIAKA 10 JELA KWA KOSA LA "KUMPIGA DENDA" NA KUMTOMASA UKENI BINTI WA MIAKA 13 HUKO MPANDA
MAHAKAMA
Hakimu ya Mkazi ya Wilaya ya Mpanda imemhukumu Kassim Lugendo (41)
mkazi wa kijiji cha Kambanga tarafa ya Kabungu kifungo cha miaka 10 jela
kwa kosa la kumnyonya ulimi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13,
anayesoma darasa la tano katika Shule ya Msingi Igalula, bila ridhaa
yake.
Hakimu
Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Chiganga Tengwa alitoa hukumu hiyo
jana baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo.
Awali
katika kesi hiyo, Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi wa Polisi, Ally Mbwijo
aliieleza mahakama hiyo kuwa mshitakiwa Lugendo alitenda kosa hilo Machi
30 mwaka jana, saa sita mchana akiwa nyumbani kwake.
Ilidaiwa
kuwa siku hiyo ya tukio mtoto huyo alikuwa akitoka shuleni akielekea
nyumbani kwao ndipo mshitakiwa alipoona anapita karibu ya nyumba yake
ambapo alimwita msichana huyo na kisha alimwingiza kwa nguvu nyumbani
kwake.
MAHAKAMA
Hakimu ya Mkazi ya Wilaya ya Mpanda imemhukumu Kassim Lugendo (41)
mkazi wa kijiji cha Kambanga tarafa ya Kabungu kifungo cha miaka 10 jela
kwa kosa la kumnyonya ulimi mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13,
anayesoma darasa la tano katika Shule ya Msingi Igalula, bila ridhaa
yake.
Hakimu
Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Chiganga Tengwa alitoa hukumu hiyo
jana baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo.
Awali
katika kesi hiyo, Mwendesha Mashtaka, Mkaguzi wa Polisi, Ally Mbwijo
aliieleza mahakama hiyo kuwa mshitakiwa Lugendo alitenda kosa hilo Machi
30 mwaka jana, saa sita mchana akiwa nyumbani kwake.
Ilidaiwa
kuwa siku hiyo ya tukio mtoto huyo alikuwa akitoka shuleni akielekea
nyumbani kwao ndipo mshitakiwa alipoona anapita karibu ya nyumba yake
ambapo alimwita msichana huyo na kisha alimwingiza kwa nguvu nyumbani
kwake.
TANZANIA YAONGOZA KWA UNYWAJI WA POMBE ZA KIENYEJI (MATAPUTAPU)
Pombe ya kienyeji ikiandaliwa tayari kupelekwa kwa walaji
UTAFITI wa Kituo cha Habari cha Marekani CNN, umebaini kwamba Tanzania ni nchi ya sita barani Afrika kwa watu wake kunywa pombe chafu (mataputapu).
Utafiti
huo wa Machi 23 mwaka huu, ulibaini kwamba Uganda inaongoza kwa kunywa
pombe chafu maarufu kama Luwombo kwa asilimia 14.52 ikifuatiwa na Rwanda
kwa asilimia 6.44.
Kwa
mujibu wa utafiti huo, Tanzania inashika nafasi ya tano kwa kuwa na
asilimia 4.52, ikiwa nyuma ya Burundi yenye asilimia 5.07.
Ivory
Coast imekuwa nyuma ya Tanzania kwa kuwa asilimia 3.55 huku Tanzania
ikiipiku Burkina Faso iliyoambulia asilimia 3.77, kwa wa watu wake
kunywa pombe chafu.
HUYU NDO BIBI ANAYEDAI KUISIKIA SAUTI YA MUNGU
Amani
usiamini! Bibi kizee Veronica Amos Kayombo (76), mwenyeji wa Ludewa,
Njombe anayeishi Buza, Dar, amedai kuisikia sauti ya Mungu ikimuagiza
akaonane na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete ampe ujumbe muhimu, shuka nayo.
MAHOJIANO MAALUM
Akizungumza
katika mahojiano maalum mwanzoni mwa wiki hii akiwa
nyumbani kwake Buza, Bibi Veronica alisema amekuwa akitokewa na Mungu
mara kwa mara na kumpa maelekezo mengi ambayo anatakiwa kuyatoa pale
atakapofika kwa Mheshimiwa Rais Kikwete.
AUNT EZEKIEL ANASWA NDANI YA POZI LA NUSU UCHI UKUMBINI
Kweli
sikio la kufa halisikii dawa! Licha kuolewa na Sunday Demonte, msanii
wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel ametia aibu kwa mara nyingine tena
baada ya kunaswa nusu utupu ukumbini usiku wa manane.
Tukio
hilo lililoshuhudiwa na mwandishi wetu lilijiri juzikati katika Ukumbi
wa Nyumbani, mjini hapa ambapo Aunt aliwashangaza mashabiki waliofurika
kwenye shoo ya Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’.
Aunt
alivaa kipensi kilichoacha mapaja yote wazi hadi kulazimika kujifunika
kwa pochi na kitopu ‘transiparenti’ kilichoonesha kila kitu hadi
‘chakula ya mtoto’.
Zanzibar yapiga marufuku ndoa za jinsia moja.
Mhe. Abubakar Khamis Bakar, Waziri wa Katiba na Sheria wa Zanzibar
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imetunga sheria ya kupiga marufuku ndoa za watu jinsia moja.
Waziri
wa Katiba na Sheria wa Zanzibar, Bwana Abubakar Khamis Bakar,
aliyasema hayo kwenye Kikao cha Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati
akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Wawi, Saleh Nassor Juma kutoka
Chama cha Wananchi (CUF).
Katika
swali lake, Bw. Saleh Nassor Juma alitaka kujua ni lini Serikali ya
Zanzibar itatunga sheria ya kukataza ndoa hizo na kuweka adhabu kali
kwa watu ambao watabainika kufanya vitendo hivyo vichafu.
Waziri Abubakar amesema, ndoa za watu wa jinsia moja ni kinyume na utamaduni Zanzibar na kwamba sheria hiyo imeweka adhabu ya kifungo cha miaka saba kwa wale wote watakaopatikana na hatia hiyo.
Pia alisema kama ninavyomnukuu: "Sheria hii inahusu makosa mengi yakiwemo ya ubakaji, zinaa, usagaji na umalaya ambayo yote yana adhabu ya kifungo cha maisha au miaka isiyopungua 30 gerezani," mwisho wa kunukuu.
DIAMOND, OMMY DIMPOZ WAPIGANA VIJEMBE KWENYE TWITTER...!!
In between, Ommy Dimpoz jumped in... This is too far hilarious ... Ha ha ha ...
Ni kweli haya yanatokea??!!
Check them tweets hapa chini :
MACHANGUDOA WA RWANDA WAZITIKISA NDOA ZA WABUNGE, WAKE ZAO WAHOFIA KUAMBUKIZWA UKIMWI....!!
Ndoa
za baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinadaiwa
kuwaka moto kufuatia kuibuka kwa wimbi la madadapoa raia wa Rwanda
ambao wamekiri kuwapa uroda waheshimiwa hao wanapokuwa mjengoni,
Dodoma,Uchunguzi umebaini kuwa, wake wa waheshimiwa hao walipata
mshtuko mkubwa hivi karibuni kufuatia taarifa ya kukamatwa kwa
machangudoa hao, Esperance Hagenimana (28), Vestina Zaninika (27) na
Ziada Mukamurera (25) huku wawili kati yao wakikutwa na dawa za
kupunguza makali ya Virusi Vya Ukimwi (ARVs).
Friday, April 05, 2013
CHEK LIST YA WASANII WATAKAO PERFORM SHEREHE ZA KUAPISHWA RAISI UHURU KENYATA
List hiyo ni Daddy Owen, Jaguar, Emmy Kosgey, Rufftone, Ringtone, Abass,
V6, Sauti Sol, Sarakasi Dancers, Madtraxx, ambao watu wengi walikuwa
wakitegemea kuona list ya majina haya.
wengine ni pamoja na Elsie na Visita, walioimba wimbo wa jubilee, pamoja na Ally B, Gkon na Kavi Pratt.its more about music industry and social issues in and out of bongo land
MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI MUSHI MAHAKAMANI
wa
Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara
miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) kulia akizungumza na
mawakili wake Abdalla Juma kushoto na Rajab Abdalla muda mfupi baada ya
kutajwa kwa kesi yake Mahakamani hapo.
Mawakili
wanaomtetea Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri , Evarist Mushi wa Kanisa
Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35)
wakili Abdalla Juma (kulia) na Rajab Abdalla wakiwa mezani pao kabla
ya kutajwa kwa kesi ya mteja wao katika mahakama Kuu Vuga mjini Zanzibar
Mtuhumiwa
wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara
miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) akiwa katika Mahakama Kuu
ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani hapo.
Picha zote na Haroub Hussein
MAKAMU WA RAIS DKT BILAL, ASHIRIKI SHUGHULI ZA KUAGA MWILI WA MAREHEMU JAJI MSTAAFU
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa marehemu Jaji
Mstaafu, Justice Ernest Mwipopo, aliyefariki kwa ajali ya gari April 3,
huko maeneo ya Morogoro. Shughuli hizo za kuaga mwili huo zimefanyika
leo kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, ambapo baada ya
shughuli hizo mwili ulisafirishwa kuelekea Mkoani Iringa kwa maziko
kesho.
Mmoja
wa majaji akibeba picha ya marehemu wakati majaji hao wakishuha jeneza
hilo lenye mwili wa marehemu, ili kuanza shughuli za kuaga katika
viwanja vya Karimjee leo.
Subscribe to:
Posts (Atom)