Mabingwa wa Tanzania, Azam wataanza harakati zake za Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa kuivaa El Merreikh ya Sudan, wakati Yanga wenyewe watakuwa na kibarua kwa BDF ya Botswana katika Kombe la Shirikisho.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa jana na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) inaonyesha wawakilishi
wa Tanzania wataanzia nyumbani katika michezo yao itakayopigwa Februari
13, 14, 15 na mechi za marudiano zitakuwa kati ya Februari 27, 28 na
Machi Mosi 2015.
Azam itawakaribisha El Merreikh na kurudiana wiki mbili baadayezijazo
nchini Sudan na endapo itafanikiwa kushinda mechi hiyo katika hatua ya
16 bora itacheza na mshindi kati ya Lydia Ludic B.A (Burundi) au
Kabuscord do Palanca (Angola).
Asante kwa kutembelea blog hii ya Jambo Tz, ili kuboresha blog yetu tunatoa fulsa ya kutangaza matangazo mbalimbali na pia kutoa maoni yako kupitia namba ya simu (WhatsApp & SMS) 0715 221198, E-mail jambotz8@gmail.com. Merry Chistmass & Happy New Year.