Monday, March 26, 2018

MAGUFULI AZINDUA MAGARI 181 YA BOHARI KUU YA DAWA (MSD)

Rais Magufuli akiwasili Bohari kuu ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam kabla ya kuzindua magari  181, Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu,Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.Machi 26,2018.
  





 Rais Magufuli akiwasili Bohari kuu ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam kabla ya kuzindua magari  181,Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine Machi 26,2018.




 Rais Magufuli akikata utepe Pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi yaGlobal Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine.kwenye hafla ya uzinduzi wa magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) jijini Dar es salaam, Machi 26, 2018.

Rais Magufuli akikagua ghala la Dawa katika  Bohari kuu ya Madawa (MSD) Jijini Dar es salaam kabla ya kuzindua magari  181,Pamoja naye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, Mwakilishi wa Taasisi ya Global Fund Bw. Linden Morrison na viongozi wengine Machi 26, 2018.
Sehemu ya  magari 181 ya Bohari kuu ya Dawa (MSD) yakisubiri kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Jijini Dar es salaam Machi 26, 2018.


Rais Magufuli akiwa na Mwakilishi wa Taasisi yaGlobal Fund Bw. Linden Morrison akijaribu moja ya magari  181 ya Bohari kuu ya Madawa (MSD) aliyozindua jijini Dar es salaam,Machi 26, 2018.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...