Thursday, December 12, 2013

DR. ASHA ROSE MIGIRO ALA KIAPO BUNGENI DODOMA LEO


PG4A9627
Mbunge wa Kuteuliwa , Dr. Asha Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa wa Bunge  na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12, 2013.
PG4A9630
Mbune wa Kuteuliwa , Dr. Asha Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa wa Bunge  na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12, 2013.
PG4A9643
Mbunge wa Kuteuliwa, Dr. Asha Rose Migiro akiapa, Bungeni Mjini Dodoma  Desemba 12, 2013. 
PG4A9702
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali, Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 12, 2013.  PG4A9733
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, Bungeni Mjini Dodoma Desemba 12, 2013.
PG4A9749
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola nje ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...