Mwigizaji
wa Bongo, Sabrina Rupia ‘Cathy’ naye amenyanyua kinywa chake na
kuonesha jinsi gani anakerwa na wasanii wanaoshinda kwa waganga ili
kutafuta ustaa.
“Vifo
vya wasanii vimetokea vingi sana, nilidhani kutokana na vifo hivyo
wangepata hofu ya Mungu na kuacha mambo yasiyofaa vikiwemo vitendo vya
kishirikina lakini hawakomi, wananikera sana. Ipo siku wataumbuka kwani
Mungu siyo binadamu,” alisema Cathy.
No comments:
Post a Comment