STEVE JOBS
Imeripotiwa
kwamba mwanzilishi wa Apple alitumia madawa kweny muhula wa kwanza kule
Reed College in Portland, Oregon mwaka 1972. Tangu aach shule, Jobs
amekuwa moja ya watu wenye mafanikio zaidi nchini America na dunia nzima
kwa ujumla. Mwaka 1984,medali ya Taifa ya Technology nchini Marekani
kutoka kwa rais wa kipindi hicho Ronald Reagan. Mwaka 2007, Fortune
Magazine walimtaja kama mtu mwenye nguvu zaidi kwenye biashara na kisha
mwaka 2011 gavana wa California Arnold Schwarzeneggerallimuweka kwenye
California Hall of Fame.pia walimtaja kama CEO wa muongo (CEO of the
decade) mwaka 2009 huku Forbeswakimuweka #57 kwenye list ya “World’s
Most Powerful People” mwaka huo huo.
Sir Richard Branson
Huku ile
‘Sir’ikimuweka kwenye list ya watu wanaoheshimiwa zaidi, hiyo sio sababu
ya yeye kuwa kwenye hii list. Kinachomfanywa awekwe ni kwa sababu yeye
anashika namba 236 kwenye watu matajiri zaidi duniani, mwanzilishi wa
Virgin empire, ambayo inashughulika na vitu vingi kuanzia ndege mpaka
maduka ya rekodi tofauti, simu,na ametengeneza utajiri wake from
scratch.Sio tu kwamba a, he gets high with his 21-year-old son.
alishasema mbele ya umati kwamba haoni tatizo kuhusu kutumia
marijuana,na amefanya mchakato kuhalalisha utumiaji wake,na pia amesema
kama ikiruhusiwa, atauza.
Michael Phelps
Jamaa ana medali
nyingi za Olympics kuliko mtu mwingine yoyote.. Tangu alipopata skendo
ya kutumia madawa, Phelps alishiriki interviews nyingi na kusema kuwa
kilichotokea ni “bad judgment,”na kuahidi kwamba kilichotokea
hakitajirudia tena… hamna kitu kama hicho.. Phelps . It might be his
last, but it definitely wasn’t his first. hii inamaanisha kwamba unaweza
ukawa mwanamichezo namba 1 duniani lakini bado unavuta pia. Stereotype
shattered.
Francis Crick
Alishinda tuzo ya
Nobel kwa kugundua ul mpangilio wa “double-helix” kwenye DNA. Rumor has
it that he was on acid at the time. . Akiwa kama muanzilishi wa Soma,
kikundi halali cha cannabis, pia alifanyia uchunguzi marijuana, ambapo
aliamini inasaidia kufanya mtu atoe mawazo akilini mwake.
Barack Obama
Karibia kila
raisi wa Marekani kabla ya Barry , kuanzia Washington, Clinton mpaka
Bush, historia yake imehusisha uvutaji wa marijuana. Clintonalijaribu
kwa makusudi lakini akashindwa, Bush alikuwa super-mlevi,lakini alitumia
madawa ya kulevya na marijuana mara moja moja, Washington alikuwa na
shamba kabisa ya marijuana shambani kwake. But as far as we know, hakuna
akiyewahi kukiri kama Obama. Ameandika kuhusu historia yake na kuvuta
marijuana/madawa ikwenye kitabu chake Dreams of My Father, na mwaka
2007kwenye intrview alisema “When I was a kid I inhaled frequently. That
was the point.” Yoyot yule anayejiuliza kuhusu mtumiaji wa Marijuana
ana future gani, amuangalie vizuri Barack Obama.Sio tu unaweza kuwa na
akili, unaweza kuwa hata rais.
Michael Bloomberg
Ameshawahi
kutumia madawa alipokuwa mdogo?Kwa mdomo wake amekiri “You bet I did.
And I enjoyed it!”
Ted Turner
Akiwa peke yake
aliwezakuanzisha CNN, na mwaka 1991 Gazeti la Times lilimtaja kama Man
of Th YearAnamiliki ardhi kubwa marekani na ana vituo vingine kadhaa
nchini humo.Alilima marijuana bwenini kwak college.
Richard Feynman
Huyu ni
mwanafizikia aliyesaidia kutengneza atomic bomb. Sikusema wote kwenye
list hii wana busara. Feynman alitumia madawa akiwa anafanya tafiti
mbali mbali akiwa maabara. Alipotoka,alishinda Nobel Prizekutokana na
nadharia yake ya “quantum electrodynamics.”
Sergey Brin
Ana Bachelor of
Science kutoka University of Maryland, Masters of Science kutoka
Stanford na alichukua kozi za PhD Stanford kabla ya kuelekeza nguvu
zake kuanzisha Google akiwa na Larry PageBaba yake ni profesa wa hesabu
University of Maryland. Mama yake ni mtafiti wa Sayansi kwenye ofisi za
NASA zilizopo Goddard Space Flight Center.Mke wake, Ann Wojcicki,ni
biotech analyst aliye-graduate na Bachelor of Science in biology kutoka
Yale University mwaka 1996. Kama Stve Jobs, ni mmoja wa watu matajiri
zaidi duniani.
Arnold
Schwarzenegger
Huyu ndio jamaa pekee kwenye hii list
ambaye ameonekana kwenye video akivuta madawa. Schwarzenegger ameacha
uvutaji tangu alipewa ofisi ya ugavana. According to Arnold, marijuana
“is not a drug, it’s a leaf.”
No comments:
Post a Comment