Thursday, March 21, 2013

SERIKALI YAAPA KUFA NA MATANGAZO YA DIGITAL
































Mkurugenzi wa Idara Habari MAELEZO, Asah Mwambene.

Serikali imesema haiwezi kusitisha matangazo ya Digiatl na kurudi kwenye analojia, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Idara HABARI MAELEZO, Asah Mwambene alisema seriakli haitaraji kurudi kwenye analojia kama baadhi ya watu wanavyotaka .

aliongeza kwa kusema mpaka kufikia hapa mchakato ulipita na maandalizi yalifanyika ya kutosha kabla ya kuingia kwenye matangazo ya Digital.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...