Wednesday, March 27, 2013

DEREVA ALIYEMGONGA TRAFIKI ENEO LA BAMAGA AFIKISHWA MAHAKAMANI







Akiteta jambo na Issa Mnally  ndani ya mahakama kabla ya hakimu kuwasili. 

  Waandishi wa habari wakimpiga picha (Simbo) wakati akiingia mahakamani...

Akiondoka eneo la mahakama mara baada ya kesi kuahirishwa akiwa na wakili wake.
 Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge  jijini Dar ss Salaam amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni. 

Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena Aprili 15 mwaka huu

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...