Monday, February 18, 2013

WAKAZI WA MBEYA WAJITOKEZA KWA WINGI KUIPOKEA TIMU YA MBEYA CITY KWA KUPANDA DARAJA KUSHIRIKI LIGI KUU MSIMU UJAO

Baadhi ya mashabiki wa timu yaMbeya City wakicheza na kusubiri timi iingie toka songea
Ni vituko mtindo mmoja jamaa kwa furaha ya timu ya Mbeya City kupanda daraja kushiriki ligi kuu anataka kuvua suruali


Chales Mwakipesile  Dr Samwel Lazaro  na mhandisi wa barabara wakipanga ratiba ya mapokezi

Hivi ndiyo timu ilivyopokelea maeneo ya uyole jijini Mbeya hapa timu ya Mbeya City inapokelewa na mashabiki wake

Watumishi wa jiji la Mbeya wakionyesha furaha yako kwa kucheza kiduku 

Baadhi ya waandishi wa habari wa mkoa wa Mbeya wakiwa makini kufuatilia matukio ya kuipokea Mbeya City

Mstahiki Meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga mara baada ya kushuka toka wenye gari yake na ndiye aliyeongozana na timu hiyo toka songea akishangilia kwa furaha ya timu ya Mbeya City kupanda daraja

Nae pia mkurugenzi wa jiji la Mbeya JumaIdi hakuwa nyuma kuonyesha furaha yake kwa timu yake ya Mbeya City

Ni fuaraha na shangwe tu

Bibi huyu akicheza na kusema sasa tumepata timu yetu hii ndiyo timu ya Mbeya sasa du kumbe wabibi wamo nao kwenye michezo

Mashabiki wa Mbeya City

Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Juma Idi na mkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla wakikumbatiana kwa furaha wakati wa kuipokea timu hiyo katika ukumbi wa mkapa jijini Mbeya

Mkurugenzi wa jiji la Mbeya Juma Idi akiwashukuru wakazi wa jiji la mbeya kujitokeza kwa wingi kuipokea timu yao ya Mbeya City 

Mstahiki Meya wa jiji la Mbeya Athanas Kapunga akiongea na wapenzi wa timu ya Mbeya City mara baada ya timu hiyo kuwasili katika viwanja vya ukumbi wa mkapa jijini Mbeya


Wakuu wa idara mbalimbali za jiji la Mbeya wakimsikiliza meya wa jiji

Moja wa viongozi wa timu ya Mbeya City Emmanuel Kimbe akiwashukuru mashabiki na wakazi wa mbeya 

Kocha wa timu ya Mbeya City Juma mwambusi akiongea na wapenzi wa Mbeya CityMkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla akiwaasa wachezaji wa timu ya Mbeya City kuwa sasa ni wakati wa timu hii kuleta kombe la ligi kuu hapa mkoani Mbeya maana hi ndiyo timu yetu wakazi wa mkoa huu Picha ya pamoja

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...