| S/N | AINA YA UDANGANYIFU | IDADI YA WATAHINIWA |
| (i) | Watahiniwa kubainika kuwa na skripti zenye miandiko tofauti au kuwa na miandiko tofauti katika skripti ya somo moja au zaidi ya moja. | 04 |
| (ii) | Watahiniwa kukamatwa na wasimamizi ndani ya chumba cha mtihani wakiwa na ‘notes.’ | 170 |
| (iii) | Watahiniwa kubainika kuwa na mfanano usio wa kawaida wa majibu. | 590 |
| (iv) | Watu kukamatwa wakiwafanyia watahiniwa wengine mtihani ‘impersonation”. | 04 |
| (v) | Watahiniwa kukamatwa na simu ndani ya chumba cha mtihani. | 06 |
| (vi) | Watahiniwa kukamatwa na wasimamizi wakibadilisha karatasi za maswali au skripti kwa lengo la kufanya udanganyifu. | 15 |
| JUMLA | 789 |
Tuesday, February 19, 2013
ORODHA YA MATUKIO NA IDADI YA WATU WALIOKAMATWA,DANGANYA,KUFANYIANA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment