Tuesday, February 19, 2013

ALICHOKISEMA ZITTO KABWE MATOKEO YA KIDATO CHA NNE


Naenda kulala sasa. Haya matokeo ya kidato cha nne haya bila hatua ya uwajibikaji kufanyika.Kawambwa has to go! Hakuna namna kabisa.

Hawa watoto waliopata zero na four haraka sana wapate mafunzo ya ufundi. VETA kila Wilaya ni ya lazima SASA.Halafu Wizara ya Elimu iwe chini ya Ofisi ya Rais. Mwakani wakifeli kama hivi na yeye atoke. tufanye petition 
Kucheza na Elimu tutaula wa chuya kwa uvivun wa kuchagua. Miradi yote tufanyayo, bila Elimu bora ni UPUUZI tu. Elimu BORA na BURE.Mwaka jana tumelalamika, tukasahau. SASA tufanye kitu. Waziri wa Elimu atoke. Wizara iwe chini ya Rais. Yakiwa haya mwakani, na yeye atoke

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...