Gari maalum la Kubeba Mwili wa Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya,Marehemu Albert Mangwea likiwa tayari kwa kubeba mwili.
Wadau
mbali mbali wakiwa wamekusanyika kwa wingi kwenye uwanja wa Ndege
Julius Nyerere kwa ajili ya kuupokea Mwili wa Marehemu Albert Mangwea
uliowasili mchana huu kutokea nchini Afrika ya Kusini.
Wadau kibao wapo uwanjani hapa hivi sasa tayari kwa kuupokea Mwili wa Marehemu Mangwea.
Rafiki kipenzi wa Marehemu Albert Mangwea,Jay Mo akihojiwa na vyombo vya habari uwanjani hapa.





Mmoja wa watoto wa watano akiwa amejifungua mbele ya uangalizi wa jopo la madaktari sik
Jopo la madaktari wakimchunguza mwanamke Alexandra Kinova miaka 23.
Alexandra Kinova kipindi cha ujauzito.
















Kutokana
na kifo cha msanii Albert Mangwea ambaye amefariki nchini Afrika ya
Kusini ambako alikwenda kufanya maonyesho, wasanii mbalimbali
wamezungumzia kifo chake.




