
Meneja
Mpya Wa Man U David Moyes akiwa ameshika ngao ya Hisani pamoja na
Mchezaji wa Man U mara baada ya kukabidhiwa leo katika uwanja wa Wembley
baada ya kuitungua Wigan Kwa Magoli 2 kwa 0. Hili ni Kombe la Kwanza
kwa Kocha Mpya huyo wa Man United david Moyes



Wachezaji
wa Man U wakishangilia Mara baada ya Kuibuka Kinara kwa kuitungua Wigan
2 kwa 0 katika Mchezo wa Kuwania Ngao ya Hisani uliofanyika Katika
Dimba la Wembley Uingereza










Ndege hiyo ilikuwa ya jeshi la Ethiopia.MOJA YA NDEGE ZA NCHI YA SOMALIA.
PICHA YA NDEGE ZA JESHI YA MAKTABA SIO YA SOMALIA.






