Monday, August 12, 2013

MAN UNITED WAIBUKA VINARA WA NGAO YA HISANI BAADA YA KUITUNGUA WIGAN KWA MAGOLI 2 KWA O KATIKA DIMBA LA WEMBLEY




 Meneja Mpya Wa Man U David Moyes akiwa ameshika ngao ya Hisani pamoja na Mchezaji wa Man U mara baada ya kukabidhiwa leo katika uwanja wa Wembley baada ya kuitungua Wigan Kwa Magoli 2 kwa 0. Hili ni Kombe la Kwanza kwa Kocha Mpya huyo wa Man United david Moyes




Wachezaji wa Man U wakishangilia Mara baada ya Kuibuka Kinara kwa kuitungua Wigan 2 kwa 0 katika Mchezo wa Kuwania Ngao ya Hisani uliofanyika Katika Dimba la Wembley Uingereza



 Golikipa namba moja wa Man U David Gea akishangilia baada ya mpira kumalizika huku Man U wakiibuka washindi kwa Kuwachapa Wigan Magoli 2 kwa 0 na kupelekea Man U kunyakua Ngao ya Hisani



 Mchezaji wa Man U Rafael Akitolea nje baada ya kupata majeraha kwenye mechi kati ya Man U dhidi ya Wigan na kupelekea Man U kuibuka mshindi kwa kuitungua Wigan magoli 2 kwa 0 na kunyakua Ngao ya Hisani


 Mkongwe Na Kocha Mchezaji wa Man U Ryan Giggs akimtoka beki wa Wigan katika Mechi ya kuwania Ngao ya Hisani iliyochezwa leo katika Dimba la Wembley na Man U kuibuka Kinara kwa Kuitungua Wigan 2 kwa 0

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...