
Msanii bora wa hiphop:
Fid Q,
Joh Makini,
Kala Jeremiah,
Profesa J,
Stamina
Wimbo bora wa Mwaka:
Dear God Kala Jeremiah,
Leka Dutigite

" Sintah for sure mwambie huyu mtoto akae mbali na BONITA atamuharibia
dakika moja. Jana nilipita pale nje maeneo ya deMage hotel kwenye duka
uchwara la BONITA, nkaona gr la Lulu na kuna gr lingine la mvulana
fulani mtoto wa daaud kanyau aitwae POnchi. Nimejua tu nn kinaendelea
mule ndan,.baada ya dk kadhaa Lulu alitkoka ndn ya duk Nawakaingia kwny
gari la ponchi wakaongea humo then ponchi akaondoka. Plz, plz plz plz
naomba awe makini ikibd akae mbali sana n BONITA. BONITA ni kuwadi
mkubwa sana. Ilimradi yy apate pesa hajali mtoto wala mkubwa. Ntafatulia
hii inshu nikupe zaid yalio jiri. I love lulu kipindi hiki awe makini"![]() |
![]() |
| mwaka 2009 katika Kanisa Katoloki, Parokia ya Mt. Joseph, Posta jijini Dar es Salaam. KUTOKA DAR ES SALAAM Msanii huyo ambaye hakaukwi na skendo, huenda akaibuka milionea ikithibitika kwamba habari iliyoandikwa na gazeti damu moja na hili, Ijumaa Wikienda la Jumatatu Aprili 8 – 14, toleo namba 310 iliyokuwa na kichwa; UWOYA, DIAMOND WANASWA HOTELINI ni ya uongo. Habari kutoka katika vyanzo vyetu vya kuaminika, zinasema kuwa mdada huyo ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwaye Krish Hamad Ndikumana yu mbioni kuandika barua ya madai kupitia kwa mawakili wake waliopo Dar ili kudai fedha hizo kwa maelezo (eti) alichafuliwa na kuingiliwa faragha yake. |







