Namba hiyo iliyotajwa katika TAMKO imewahi kuwa
namba yangu ya Simu. Namba hii nimeacha kuitumia toka mwezi Juni/Julai
mwaka 2012. Hata hivyo namba hii bado inaonekana kwenye businesscard
yangu na kwenye email zangu sehemu ya anuani. Namba hii haijawahi kuwa
ya Zoka. Imewahi kuwa ya Zitto Zuberi Kabwe peke yake. Namba hii
haitumiki toka katikati ya mwaka 2012.
Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.
Kama JF inataka kuthibitisha hili waunde jopo la wanaJF watakaopata taarifa za namba hii popote wanapoweza kupata.