Amani
usiamini! Bibi kizee Veronica Amos Kayombo (76), mwenyeji wa Ludewa,
Njombe anayeishi Buza, Dar, amedai kuisikia sauti ya Mungu ikimuagiza
akaonane na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho
Kikwete ampe ujumbe muhimu, shuka nayo.
MAHOJIANO MAALUM
Akizungumza
katika mahojiano maalum mwanzoni mwa wiki hii akiwa
nyumbani kwake Buza, Bibi Veronica alisema amekuwa akitokewa na Mungu
mara kwa mara na kumpa maelekezo mengi ambayo anatakiwa kuyatoa pale
atakapofika kwa Mheshimiwa Rais Kikwete.








Uchunguzi umebaini kuwa, wake wa waheshimiwa hao walipata
mshtuko mkubwa hivi karibuni kufuatia taarifa ya kukamatwa kwa
machangudoa hao, Esperance Hagenimana (28), Vestina Zaninika (27) na
Ziada Mukamurera (25) huku wawili kati yao wakikutwa na dawa za
kupunguza makali ya Virusi Vya Ukimwi (ARVs).













