Ndoa
za baadhi ya wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinadaiwa
kuwaka moto kufuatia kuibuka kwa wimbi la madadapoa raia wa Rwanda
ambao wamekiri kuwapa uroda waheshimiwa hao wanapokuwa mjengoni,
Dodoma,
Uchunguzi umebaini kuwa, wake wa waheshimiwa hao walipata
mshtuko mkubwa hivi karibuni kufuatia taarifa ya kukamatwa kwa
machangudoa hao, Esperance Hagenimana (28), Vestina Zaninika (27) na
Ziada Mukamurera (25) huku wawili kati yao wakikutwa na dawa za
kupunguza makali ya Virusi Vya Ukimwi (ARVs).