Tuesday, September 20, 2016

PICHA ZAIDI ZA AJALI YA BUS LA NEW FORCE ILIYOTOKEA MKOANI NJOMBE



Watu 12 wamefariki dunia katika ajali ya basi la kampuni ya New Force lililokuwa likisafiri kutoka Dar kwenda Songea jana, katika watu waliofariki kati yao wanaume ni 4 na wanawake 8. Huku majeruhi wakiwa 19. Zoezi la uokozi lilimalizika majira ya saa 8 usiku.


Mwenyezi Mungu awaponye majeruhi wote wa ajali hii.

Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi,  Amina.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...