Thursday, February 19, 2015

HAYA NDIO MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA, PAUL MAKONDA, SHABAN KISSU...!!!

http://jambotz8.blogspot.com/

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete  amefanya mabadiliko ya wakuu wa Wilaya ili kuboresha utendaji kazi.
Mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishiri na saba (27) zilizotokana na:

a) Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3;
b)Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa wakuu wa Wakuu wa Mikoa:
c)Kupangiwa Majukumu Mengine wakuu wa Wilaya 7; na
d)Kutengua uteuzi wa Wakuu Wawilaya wengine 12.

katika babadiliko hayo Rais Kikwete amewateua wakuu wapya wa Wilaya 27 kujaza nafasi hizo zilizo achwa wazi.
Tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, pia usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.


Aidha, Wakuu wa Wilaya siti na nne (64) wamebadilishwa vituo vyao vya kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki katika vituo vyao vya sasa. 
Walio teuliwa ni pamoja na Zelothe Steven (Musoma), Mboni Muhita(Mufundi), Paul Makonda (Kinondoni), Shaabani Kissu (Kondoa)
, Mariam Mtima (Ruangwa), Dk.Jasmini Tiisike (Mpwapwa), Paloleti Mgema (Nachingwea), Fadhili Nkurlu, (Misenyi), Felix Lyaniva (Rorya), Fredrick Mwakalebela (Wanging'ombe), Fransis Mwango (Bahi), Col Kimiang'ombe Samwel (Kiteto), Husna Msangi( Handeni), Emmanuel Uhaula (Tandahimba), Hashim Mngandilwa (Ngorongoro), Mariam Juma (Lushoto), Thea Ntara (Kyela), Ahmad Nammohe (Mbozi), Pili Moshi (Kwimba), Mahmoud Kambona (Simanjiro), Glorius Luoga (Tarime), Zainabu Telack (Sengerema), Zuhura Ally (Uyui).

Nyerembe Munasa kutoka Arumeru  kwenda Mbeya, Jordan Rugimbana kutoka Kinondoni kwenda  Morogoro, Fatma Ally kutoka Chamwino kwenda Mtwara, Lephy Gembe kutoka Dodoma Mjini kwenda Kilombero, Christopher Kangoye, kutoka Mpwapwa kwenda Arusha, Omary Kwaang’ kutoka Kondoa kwenda Karatu, Francis Isack kutoka Chemba kwenda Muleba na  Betty Mkwasa kutoka Bahi kwenda Dodoma Mjini.

Agnes Hokororio kutoka Ruangwa kwenda Namtumbo, Regina Chonjo kutoka Nachingwea kwenda Pangani, Husna Mwilima kutoka Mbogwe kwenda Arumeru, Gelad Guninita kutoka KIlolo kwenda Kasulu, Zipporah pangani
kutoka Bukoba kwenda Igunga na kanali Issa Njiku kutoka Misenyi kwenda
Mlelea. Tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, pia usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.

Pia wamo Richard Mbeho kutoka Biharamulo kwenda Momba, Lembris Marangushi kutoka Muleba kwenda Rombo, ramadhani Maneno kutoka Kogoma kwenda Chemba, Venance Mwamoto kutoka Kibondo kwenda kaliua, Gishuli Charles kutoka Buhigwe kwenda Ikungi.

Wengine ni Novatus Makunga kutoka Hai kwenda Moshi, Anatory Chonya kutoka Mbulu kwenda Ludewa, Christine  Mndeme kutoka hanang kwenda Ulanga, Jackson Musome kutoka Musoma kwenda Bukoba, John Henjewele kutoka Tarime kwenda Kilosa, Dk Norman Sigalla kutoka Mbeya kwenda  Songea, Dk.Michael Kwedeghe kutoka Mbozi kwenda Mbulu, Crispin Meela kutoka Rungwe kwenda babati, Magreth Malenga kutoka Kyela kwenda Nyasa.

Saidi Amanzi kutoka Morogoro kwenda Singida, Antont Mtaka kutoka  Mvomero kwenda Hai, Elias tarimo kutoka Kilosa kwenda Biharamulo, Francis
Miti kutoka Ulanga kwenda hanang, Hassan Masala kutoka Kilombero kwenda
Kibondo.

Angelina Mabula kutoka Butiama kwenda Iringa, Farida Mgomi kutoka Masasi
kwenda Chamwino, Willaim Ndile kutoka Mtwara kwenda kalambo, Ponsian Nyami kutoka Tandahimba kwenda bariadi, Mariam Lugaila kutoka Misungwi kwenda Mbongwe, Mary Onesmo kutoka Ukerewe kwenda Buhigwe, Karen Yunus kutoka Sengerema kwenda Magu, Josephine Matiro kutoka makete kwenda Shinyanga, Joseph Mkirikiti kutoka Songea kwenda Ukerewe.

Wengine ni Abdula Lutavi kutoka namtumbo kwenda Tanga, Ernest Kahindi
kutoka Nyasa kwenda Longido, Anna Nyamubi kutoka Shinyanga kwenda Butiama, Rosemary Kirigini kutoka Meatu kwenda Maswa, Abdallah Kihato kutoka Maswa kwenda Mkuranga, Erasto Sima kutoka Bariadi kwenda Meatu, Queen Mulozi kutoka Singida kwenda Urambo, Yahya Nawanda kutoka Iramba kwenda Lindi, Manju Msambya kutoka Ikungi kwenda Ilemela, Saveli maketta kutoka kaliua kwenda Kigoma, Bituni Msangi kutoka Nzega kwenda Kongwa na Lucy Mayenga kutoka Uyui kwenda Iramba.

 Majid Mwanga kutoka Lushoto kwenda bagamoyo, Muhingo Rweyemamu kutoka Handeni kwenda Makete, Hafsa Mtasiwa kutoka pangani kwenda Korogwe, dk Nassoro Hamid kutoka Lindi kwenda Mafia, Festo Kiswaga kutoka nanyumbu kwenda Mvomero, Selemani Mzee kutoka Kwimba kwenda
Kilolo, Esterina Kilasi kutojka Waning’ombe kwenda Muheza, Subira Mgalu kutoka Muheza kwenda Kisarawe na jacline Liana kutoka Magu kwenda Nzuga.



Walioacha ni pamoja na Elias Wawa Lali (ngorongoro), Alfred E. Msovella (Kiteto)Dk. Leticia M. Warioba (Iringa), James K. O. Millya (Longido), Mathew S. Sedoyeka (Sumbawanga),  Fatuma L. Kimario (Igunga),  Elias W. Lali (Ngorongoro), Abihudi M. Saideya, (Momba), MrishoGambo (Korogwe). 

Majina hayo yametangazwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mjini Dodoma mchana huu. 
Angalia hapa chini kwa urahisi zaidi. Tangaza biashara yako hapa kwa bei nafuu zaidi, pia usisahau ku-Like Ukurasa Wetu Wa Facebook Kwa Kubofya/ Click Neno Jambo Tz.

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...