Thursday, October 02, 2014

HAWA NDIO WAKE WA MARAIS WA AFRIKA WANAOTIKISA...!!!

 
Ana Paula Dos Santos.
alizaliwa1964, ni mke wa Rais wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos, Paula ni mwanamitindo wa zamani, anasifika kwa uzuri na kujua kuvaa.
Mama Salma Kikwete.
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alizaliwa 1963, anatajwa kuwa katika orodha ya wake wazuri wa marais wa Afrika, anasifika kwa mavazi yake ya kitenge.
Margaret Wanjiku Kenyatta.
Ni mke wa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, anatajwa kuwa na tabasamu zuri ingawa nywele zake zenye rangi ya kijivu ni kivutio kikubwa. Kazaliwa Mwaka 1963.
 
Hinda Deby Itno.
Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz
  Anafahamika kama mrembo wa Chad, pia anatajwa kuwa mmoja wa wanawake wa marais mwenye bashasha na tabasamu la kipekee, mke wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa Chad, Brahim Deby Itno.

Mialy Razakandisa Rajoelina
Ni miongoni mwa wake vijana wa marais katika Bara la Afrika na anatajwa kuwa na ngozi nzuri na urembo wa asili, ni mke wa Rais Andry Rajoelina wa  Madagascar.
 Zaineb Jammeh Suma.
 
Ni mke wa Rais wa Gambia, Yahaya Jammeh. Zaineb anatajwa kuwa ndiye mwanamke mrembo kuliko wake wengine wa marais katika Afrika. Amezaliwa1977, Rabat nchini Morocco.
 



 
Sylvia Bongo Ondimba.
Mke wa Rais wa Gabon, Ali Bongo Ondimba, Sylvia ndiyo jina alilopewa na wazazi wake mwaka 1965, ni mzaliwa wa Paris Ufaransa, anasifiwa kwa uzuri. Kuwa wa kwanza kupata habari zetu kwa ku-Like page yetu ya facebook kwa ku-click/ bofya neno Jambo Tz

Na GPL

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...