Tuesday, December 10, 2013

WINNIE MANDELA NA GRACA MACHEL WAKUTANA MSIBANI, MARAIS ZAIDI YA 90 KUHUDHURIA MAZISHI.... R.I.P MANDELA


Marais zaidi ya 90 wa nchi mbalimbali duniani akiwemo Barack Obama wa Marekani ni miongoni mwa maelfu ya waliojitokeza Johannesburg South Africa kwenye uwanja wa soka wa FNB leo kumuaga Mzee Mandela anaetarajiwa kuzikwa Jumapili ijayo December 15 2013.
madiba 9
Serikali ya Afrika Kusini imeimarisha ulinzi kwa kutumia vikosi vyake vya jeshi vyenye ulinzi wa hali ya juu ambapo sniper team ni miongoni mwa wanaohusika na ulinzi kwenye eneo lote la kiwanja anakoagiwa Mzee Mandela huku helicopter pamoja na ndege za kijeshi zikipita angani mara kwa mara.
Kwenye uwanja huu wa FNB, ndio ilikua sehemu ya mwisho ya Mzee Mandela kuonekana hadharani… kipindi cha kombe la dunia mwaka 2010. Like ukurasa wetu wa facebook hapa https://www.facebook.com/jambotz
madiba 2
madiba 7
FNB Stadium in Soweto
madiba 4

No comments:

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...