Saturday, August 03, 2013

HIVI NDIVYO RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOFUTURU NA WASANII NA WATU WA MEDIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


 Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Msanii Mkongwe wa Bongofleva,Gwamaka Kaihula a.k.a King Crazy G K.
  Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa bongofleva na muigizaji wa Filamu hapa nchini,atambulikae kwa jina la kisanii Zuwena Mohamed a.k.a. Shilole.
 
 Rais Kikwete akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Filamu na  Bongofleva,Hemed Suleiman.
 Rais Kikwete akiwa katika picha ya kumbukumbu na mmoja wa Watangazaji machachari wa Clouds FM,TV,Mbwiga Mbwiguke.

Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Wasanii wa Bongofleva,Ally Kiba na mdogo wake Abdull Kiba.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasanii wa muziki wa Bongofleva mara baada ya kufturu Kutokakushoto,Snura,Keisha,Mwasiti,aliyechuchumaa ni Shilole,Dj Fetty ,Mwanahawa Abdul a.k.a Quee Doreen.
 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya pichani shoto Mwasiti Almas na kulia Zuwena Mohamed a.k.a Shilole wakiwa sambamba na Mtangazaji wa Clouds FM,Dj Fetty wakipakua ftari kufuatia mualiko wa Rais Kikwete kwenye viwanja vya Ikulu,jijini Dar jana.
 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva wakipata ftari kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar jana kufuatia mualiko wa Rais Kikwete.
 Rais Kikwete akisalimiana na msanii wa bongofleva,Lawrence Malima a.k.a Marlow,kulia kwake ni Ally Kiba pamoja na Abdul Kiba na kushoto ni Mtangazaji wa East Africa Radio,Samisango
 Rais Kikwete akisalimiana na msanii wamuziki wa kizazi kipya,Chege Chigunda na kulia kwake ni msanii wa bongofleva,Cassim Mganga,wakati wa kupata ftari jana jioni kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar.
 Rais Kikwete akiwasabahi baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya,mara baada ya kupata ftari mapema jana jioni kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar,Rais Kikwete aliwaalika wasanii mbalimbali kupata ftari ya pamoja Ikulu jana jioni. Tembelea jambotz8.blogspot.com kila siku.

Wasanii mbali mbali na watangazaji walipata kualikwa ikulu jijini Dar, kwa ajili ya kuftari na Mh Raisi pamoja na familia yake.mara baada ya kuftari Mh Kikwete aliongea mawili matatu ikiwa ni pamoja na kuwapa moyo wasanii kwa kuendeleza sanaa maana hata yeye anapenda kusikiliza miziki yao
B12
Fetty
Dj Mully B
Jafarai na inspector Haroon
Qchief na Babu Tale 
Mwasiti, Fetty na Shilole
Chege, Nyandu Tozi na Madee
Kassim Mganga
Adama Mchomvu
Ben Pol (wa pili kutoka kulia)
Linex (wa kwanza kulia)
Looking good MashAllah, TID, Jafarai na Z Anto
Mzee mkorofi, Suma Lee
hahahaa Mbwiga nae hakukosa
Shekh AY na Ali Kiba
Marlow na Sam Misago
Feruz na Fela
Lamar na P Funk
Quick kama sio yeye loooool 
Hemedi Phd
Adama Juma
Dogo Asley
King Crazy GK
Shilole

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...