Monday, August 19, 2013

BARCELONA YAFANYA KUFURU, YAIGONGA LEVANTE 7-0


Wachezaji wa Barcelona wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Alexis Sanchez dakika ya tatu.



Lionel Messi kama kawaida yake katupia mbili katika mechi ya leo.



Neymar aliyeingia kipindi cha pili akikwaana na mchezaji wa Levante.


Brcelona leo imefanya kufuru baada ya kuishushia kichapo cha bao 7-0 Levante katika mchezo wao wa kwanza wa La Liga uliopigwa kwenye Uwanja wa Camp Nou jijini Barcelona nchini Hispania. Mabao ya Barcelona yamewekwa kimiani na Sanchez dakika ya 3, Messi aliyefunga mabao mawili dakika ya 12 na 42 (penalti), Alves dakika ya  23, Pedro naye kafunga mabao mawili dakika ya 26 na 73 na  Xavi  aliyefunga dakika ya 45.
(PICHA: AFP, GETTY IMAGES)

Pro

PropellerAds

LinkWithin

Soma na Hizi Pia Plugin for WordPress, Blogger...