ASKOFU
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex
Malasusa akikata utepe kuzindua chuo kikuu cha Tumaini Makumira tawi la
Mbeya
|
| Viongozi mbali mbali wa mkoa wa Mbeya walihudhuria uzinduzi huo |
U
Askofu
Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel
Mwakyolile akisoma somo la kwanza katika ibada ya uzinduzi wa tawi hilo
|
| ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa Akihubiri katika ibada ya uzinduzi wa tawi la chuo kikuu cha Tumaini Makumira Uyole mbeya |


No comments:
Post a Comment